Fedha za 'speed test' kila siku na michango ya kila Alhamisi inayotozwa Shule ya Msingi Gongolamboto Jeshini ni utaratibu wa kawaida maeneo mengine?

goukun wadey

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2020
Posts
241
Reaction score
284
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.

Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.

Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?

Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa
 
Sio utaratibu ni sawa, Ila maisha yamekuwa magumu sana na Walimu wanajaribu kujikwamua kimaisha na kwa namna nyingine pia wanasaidia watoto wetu.
 
Kwani hawana mishahara? Kwani hayo maisha magumu ni watoto wetu ndio wanasababisha? Au ndio kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake! Kila kitu sasa Urusi na Ukraine![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
CCM ni watu hatari lakini pia ni wanafiki watumishi wote wananjaa ,tatizo ni ccm ,samia na ukoo wake
 
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.

Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.

Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?

Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa
Mwanangu alimaliza hapo miaka mi nne iliyopita Kodi ilikuwa 500 kwa buku naona imefika 600 itakuwa kupanda bei ya mafuta imechangia....!
 
Afisa Elimu wa mkoa, Wilaya, kata, tusaidieni au mnataka tuwaambie muna mpango au mkakati wa kumchafulia mama pr wetu? kitu ambacho kinasemwa semwa sana. Ni kikundi maalum
 
Kuna mawili kama ni kwa ajili ya mitihani ya kujipima haina shida wandugu! Wanakwambia kuwa ukiona elimu ni gharama mchukue mwanao akae nyumbani!! Fikiria vyema hapo mwalimu anajitoa kuwatungia mtihani kwa kujipima kila somo sh 100 na anasahihisha na kuchapa hiyohiyo hela halaf unasema wanachukua kodi!!
Pili; walimu nao kama wanachanga kila siku maanake kuna upigaji! Haiwezekan mwanafunz kila siku anafanya mitihani hii haipo lazma afundishwe na kumfanyia masahihisho! Hapo shule lazma iwajibike kwa nini iwe hivo
 
Kuna shule mbili za mkoani nilipo, Juzi na jana niligawa muda kutembelea na bahati niliongea na waalim na kufuatia taarifa za mtoto wangu mmoja wa kike anasoma hapo kwenye moja ya hizi shule, hii shule msimu uliopita ilikuwa ya pili kimkoa kwa matokeo ya mtihani kitaifa wa darasa la nne na namba 5 kimkoa darasa la saba. Nilihoji kama wana michango kama ile ya Gongolamboto jeshini,waalimu na mwanangu kwa pamoja wote walishangaa utaratibu huo na hawajui inawezekanaje. Walim waliniambia wazazi wamekubaliana michango ya chakula hivyo wanafunzi wa chekechea, darasa la 4 na darasa la saba wanapata milo miwili wakiwa shuleni, na waliobaki wanapata mlo mmoja. Michango kwa mzazi ni kilo 20 ya sembe au thamani yake kwa pasa kila muhula basi
 
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.

Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.

Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?

Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa
Acha wivu, mama alisema "kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake", sasa kakamba kafupi hivyo kwa ajili ya walimu unakatolea macho???

Kama unaona wanachofanya hakina maana chukua mtoto wako kakae naye kwenu, mbona simple!
 
Kuna shule mbili za mkoani nilipo, Juzi na jana niligawa muda kutembelea na bahati niliongea na waalim na kufuatia taarifa za mtoto wangu mmoja wa kike anasoma hapo kwenye moja ya hizi shule, hii shule msimu uliopita ilikuwa ya pili kimkoa kwa matokeo ya mtihani kitaifa wa darasa la nne na namba 5 kimkoa darasa la saba. Nilihoji kama wana michango kama ile ya Gongolamboto jeshini,waalimu na mwanangu kwa pamoja wote walishangaa utaratibu huo na hawajui inawezekanaje. Walim waliniambia wazazi wamekubaliana michango ya chakula hivyo wanafunzi wa chekechea, darasa la 4 na darasa la saba wanapata milo miwili wakiwa shuleni, na waliobaki wanapata mlo mmoja. Michango kwa mzazi ni kilo 20 ya sembe au thamani yake kwa pasa kila muhula basi
Gongolamboto Ni Dslam lakini.walimu wanatafuta nauli za daladala.
 
serikali ianze kutoa posho kwa walimu tu
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, wewe unataka kukata ya wenzako😬😬😬
 
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.

Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.

Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?

Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa
M17 Govt
 
Afu huu uzi unajirudia na tushaongelea hili suala ,wew Kam una mtot wako kamchukue umpeleke private ,waache watot wa maskini wasaidiwe wafaulu vzuri izo test sisi tulifanya enzi izo na Ela tulilipa na Leo tumefanikiwa kielimu ,
Unapanik mwalim vipi?
 
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.

Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.

Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?

Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa
Mkuu tulia mtoto wako.anaandaliwa kuwa mwana zuoni usijali huo ni uwekezaji

Asante
 
Back
Top Bottom