goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Wandugu, shule ya msingi Gongolamboto Jeshni inapatikana kwenye halmashauri ya jiji Ilala, kuna kodi au makusanyo yanafanyika pale ambayo natamani kujua ikiwa ni utaratibu wa kawaida au kungineko ipo kama hapo.
Kuna kodi au makusanyo ya pesa yanayotokana na kitu inaitwa speed test ambayo ni tsh 600 kwa kila siku, na kuna kodi au makusanyo ya tsh 1000 kila siku ya Alhamisi. Nimependa kutumia kodi au makusanyo kukwepa nisitumie neno michango ili kuondoa dhana kwamba ni jambo la hiari.
Huu ukusanyaji unaofanyika kwenye hii shule na mashule mengine upo! Ni wa kisheria! Ni utaratibu umebuniwa ktk shule hii pekee au ni wa nchi nzima au jiji au manispaa? Tarafa au kata?
Je ni kodi halali. Kwa hali ya wazazi wa kawaida fanyeni hesabu muone elimu 'Bila malipo' ilivyofafanuliwa vizuri na shule hii pendwa. (600×4+1000) fanya kwa mwezi itakuwa ni (600×4+1000) × 4 (wiki) = ? Naomba kushea na kujua zaidi wazazi twafaaaaaaaa