Habari wanaJF,
Hebu nikuulize swali moja la msingi kama mmiliki wa biashara👇
Ukiwa nyumbani, safarini au hata nje ya nchi—
👉
Unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi?
Kama jibu ni
hapana, basi kuna tatizo kubwa kuliko unavyodhani.
👉 Ukweli mchungu ni huu:
Biashara inaweza kuwa kubwa, ina mauzo mengi, lakini bado inapoteza pesa kimya kimya.
Na chanzo kikubwa ni kimoja tu 👇
❌ Hakuna mfumo sahihi wa kusimamia biashara
au
❌ Unatumia mfumo mgumu, wa gharama kubwa, na usioruhusu customization kulingana na biashara yako
🔥 PAIN POINTS HALISI ZA MFANYABIASHARA MKUBWA
🔴 Hujui stock halisi uliyobaki nayo
🔴 Huna uhakika na ripoti za mauzo
🔴 Cash flow haionekani wazi
🔴 Wafanyakazi wanakuibia bila wewe kujua
🔴 Unategemea Excel, daftari au mfumo wa jumla usioendana na biashara yako
🔴 Unalipa mifumo ya gharama kubwa lakini:
- Hairuhusu customization
- Support ni hafifu au ya mbali
- Training ni ya juu juu
- Mfumo haulandani na uhalisia wa biashara yako
👉 Mwisho wa siku,
mfumo unakulazimisha ubadilishe biashara yako uendane nao, badala ya wao kuubadilisha uendane na biashara yako.
✅ SULUHISHO: MFUMO WA FEDHABOOK
Nimeunda
Fedhabook — mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara,
👉 uliotengenezwa kwa mazingira ya biashara zetu,
👉 sio mfumo wa ku-copy kutoka nje.
📌 Unachohitaji ni:
🌐
Internet
Kisha:
✔️ Unaingia kwenye mfumo popote ulipo
✔️ Dukani, nyumbani, safarini au nje ya nchi
✔️ Unaona mwenendo wa biashara yako
LIVE
Hii inakupa:
✅ Mauzo ya leo
✅ Stock iliyobaki
✅ Cash flow halisi
✅ Maamuzi kwa
data, sio maneno
⭐ KINACHOITOFUTISHA FEDHABOOK
👉
Mfumo unacustomizwa kulingana na biashara yako.
Sio wewe kuubeba mfumo —
👉
mfumo ndio unakubeba wewe.
📊 FEDHABOOK INAKUSAIDIA KUDHIBITI:
✔️ Products (Bidhaa)
✔️ Purchases (Manunuzi)
✔️ Sales (Mauzo)
✔️ Stock Management
✔️ Customers & Suppliers
✔️ Reports (Mauzo, Faida, Stock, Cash Flow)
📄 Mfumo unatengeneza automatically:
- Invoice
- Quotation
- Proforma Invoice
- Delivery Note
Vyote vikiwa
professional, tayari kuchapishwa au kutumwa kwa mteja.
💰 GHARAMA & KWA NINI ZINA MAANA
🔹 Setup Fee:
Hii sio hela ya kufungua akaunti.
Kwa Tsh 300,000 unapata:
✔️ Mfumo kubrandwa jina la biashara yako
✔️ Invoice na documents zenye brand yako
✔️ Mfumo kuandaliwa kulingana na mtiririko wa biashara yako
✔️ Customization kamili kulingana na mahitaji yako
✔️ Training ya kina (si ya juu juu)
✔️ Mfumo unaanza kazi immediately
👉 Fedhabook sio software tu,
👉
ni sehemu ya biashara yako.
🔹 Malipo ya Kila Mwaka:
✔️ Matumizi ya mfumo
✔️ Maintenance
✔️ Support ya karibu
✔️ Uhifadhi salama wa taarifa zako (online)
🔥 OFFER MAALUM – JANUARY TU
🚫 HUTALIPIA Annual Fee ya Tsh 150,000
✅ Unalipia
Tsh 300,000 tu
👉 Badala ya Tsh 450,000
👉
Unalipia Tsh 300,000 pekee
⚠️ Ofa hii ni ya January tu
⚠️ Ukikosa, gharama zitarudi kawaida
⚠️ UKWELI WA MWISHO
Mfanyabiashara mkubwa:
👉 haangalii gharama,
👉 anaangalia
hasara anayoepuka.
Kama mfumo:
✔️ Unakupa udhibiti
✔️ Unakupa uwazi
✔️ Unakupa maamuzi sahihi
✔️ Unakuondolea stress
👉 Huu sio matumizi —
ni uwekezaji.
👥 NI BIASHARA GANI ZINALAZIMIKA KUTUMIA FEDHABOOK?
Fedhabook ni kwa wamiliki wa:
🛒 Retail & Wholesale
🏬 Supermarket
💊 Pharmacy
🔧 Hardware & vifaa vya ujenzi
🍴 Migahawa, cafe, hoteli ndogo
🚚 Distributors
📦 Biashara zenye stock nyingi
👉 Kwa sababu bila mfumo sahihi:
❌ Mauzo, stock na fedha hupotea kimya kimya
✅ Fedhabook inatoa
udhibiti wa 100% na ripoti halisi
📩 Kama una biashara na unataka mfumo uendane na biashara yako,
👉
niandikie PM au comment hapa chini
📞
MAWASILIANO (SMS / CALL / WHATSAPP)
📱
0797 870 940
⏳
Wasiliana nasi sasa kabla ofa haijaisha.