mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.
Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.
kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...
haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.
***Pusha ni ongeza stik moja niende*.