Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Huyu jamaa hamna kitu
Maneno yanamtoka mtu aliyekalisha limwili lake tu. Hajui lolote kuhusu ngumi
Ingekuwa kila ukikosea unahukumiwa hivyo . Wazaz wako si wangekuwa wameshakuua
Unaweza kukuta Jamaa ni bondia mzur na ameshawah kupiga hata watu wa nje ila hakusifiwa kushindwa mech moja ambayo hata hamjui alifikaje mnajikuta wajuaj
Nahis bongo Ndo nchi inayoongoza kwa wachaw ambao hawana vitendea kaz