Fedhea

Fedhea

Huyu jamaa hamna kitu
Maneno yanamtoka mtu aliyekalisha limwili lake tu. Hajui lolote kuhusu ngumi

Ingekuwa kila ukikosea unahukumiwa hivyo . Wazaz wako si wangekuwa wameshakuua

Unaweza kukuta Jamaa ni bondia mzur na ameshawah kupiga hata watu wa nje ila hakusifiwa kushindwa mech moja ambayo hata hamjui alifikaje mnajikuta wajuaj

Nahis bongo Ndo nchi inayoongoza kwa wachaw ambao hawana vitendea kaz
 
Ahsante kwa maoni..

alafu nilisema haya ni maoni yangu.
na unacho kiongea wewe ni maoni yako tu.

Ila kiuhalisia mi mtata sana kwenye hizo mambo..

Wana uwa wa nakuja kunikodi kwenda kumaliza masoo yao yanayo hitaji suluhisho la ngumi.
 
Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.

na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.

Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.

kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...

haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.

***Pusha ni ongeza stik moja niende*.

Hivi hata kocha alikua nae huyu bwana selemani said?
FB_IMG_1575934576477.jpg
 
Yule bondia wa Bongo aliyepigwa ngumi moja hadi kuletewa mitungi ya oxygen atutake radhi wa watanzania na Umma wa kiislam kwa ujumla.
serikali imnyang'nye Hati yake ya kusafiria pamoja na adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.

na promota wake anyang'nywe leseni yake..
kipigo hicho ni fedhea kubwa sana.

Yule dogo(mpigaji) ana miaka 19 na Huyu mpigwaji ana miaka 33 kwa kipigo kile ni aibu na fedhea kubwa sana.

kwanza dogo alipiga alama ya msalaba kabla ya gemu kitu ambacho ni kufuru kabisa. ishara hiyo ndani ya viunga vya Maka na madina ni kufuru kubwa...

haya ni maoni yangu.
ninao uhuru wa kuongea kwa mjibu wa katiba.

***Pusha ni ongeza stik moja niende*.
Rekebisha title.
Ni fedheha!
 
Huo Mkoa wa Zenji wote mnakula urojo ulitegemea nini?
 
Hàmna huyu kaona nyi mnasubiri tu watu wafanye vizuri Mpewe sifa. Kaona bora afelishe. Mkose cha kujisifu kudadadeki.
 
Mchezo wa masumbwi wakijinga sana,sasa mtu umetoa pesa zako za kiingilio halafu boya kama huyo anapigwa ndani ya dakika 2:23.
Pesa imeenda bure.
 
Nimepoteza muda tu kukosa makala yako
1 kwanza hujui chochote kuhusu ngumi.
2 Kwenye ngumi hatuangalii umri tunaangalia weight.
3 Bondia kupigwa round 1 sio tatizo ni kawaida kwenye huu mchezo nasio mchezo huu tu hata mpila watu wanafungwa goli hata dk 1 bado.
4 wote huyu bondia tulikuwa hatumjui lakini mpaka kufikia pale kupambana au kupewa pambano la utangulizi katika pambano kubwa kama lile la Dunia sio ishundogo.
5 vp kama angeshinda bwana sele pambano leo ungeongea shit zako hapa kama ulivyofanya?.
 
Mtoa mada post yako ina kila dalili za udini !!!
 
Hàmna huyu kaona nyi mnasubiri tu watu wafanye vizuri Mpewe sifa. Kaona bora afelishe. Mkose cha kujisifu kudadadeki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..
mkuu umewaza tofauti
 
Back
Top Bottom