Dear all,
Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds.
hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je wanatoza fee kulingana na hisa unazonunua au wana flat annual rate au wanatoza kulingana na hisa utakazouza etc?. kuna mmoja kaniambia kuwa anacharge 2% ya total value of shares (mfano kama kwa mwaka ukiwa na hisa za thamani ya 10m basi anatoza hiyo 2%).
mimi ni mgeni katika suala la hisa hivyo ningependa kupata ushauri wa wanaofahamu masuala haya. maelezo kuhusiana na charging approach will be highly appreciated.
Ndio hivyo mkuu, wana charge 2% ya thamani ya hisa utakazonunua, nakutakia bahati njema, maana utaihitaji kwenye hii biashara
kuna namba za mawakala wa hisa wanaitwa Vertex wapo posta, namba zao hizi hapa 0718 430 562