Fee ya kumlipa DSE brokers/ Dalali wa hisa..

Fee ya kumlipa DSE brokers/ Dalali wa hisa..

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
Dear all,
Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds.

hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je wanatoza fee kulingana na hisa unazonunua au wana flat annual rate au wanatoza kulingana na hisa utakazouza etc?. kuna mmoja kaniambia kuwa anacharge 2% ya total value of shares (mfano kama kwa mwaka ukiwa na hisa za thamani ya 10m basi anatoza hiyo 2%).

mimi ni mgeni katika suala la hisa hivyo ningependa kupata ushauri wa wanaofahamu masuala haya. maelezo kuhusiana na charging approach will be highly appreciated.

thanks
 
Ndio hivyo mkuu, wana charge 2% ya thamani ya hisa utakazonunua, nakutakia bahati njema, maana utaihitaji kwenye hii biashara
kuna namba za mawakala wa hisa wanaitwa Vertex wapo posta, namba zao hizi hapa 0718 430 562
 
thanks for info. But to me it seems to be expensive. Ningependa kujua wanapigaje hesabu ya fee yao
 
Back
Top Bottom