Feed back ya interview infinity...

Feed back ya interview infinity...

Inosent

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
18
Reaction score
1
naomba kama kuna mtu alifanya interview infinity anipejibu kama amepigiwa simu
 
Kuna jamaa alifanya pale embu ngoja nimuulize thn utapata jibu kijana wangu!
 
Wana usaili mingi sana wale, kama unaulizia ya tiGo, tiari washachagua watu
 
nisaidieni nijue kimoja kama nimekosa ajira niendelee na ujasiriamali
 
Mkuu ni Position gani? Kama upande wa tigo nasikia bado
 
Infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue
 
infinity ndo kitu gani................tunaomba adress yao basi ili tuwajue


watu kati hawa
ni mawakala ambao tunaweza sema kama ni recruitment agency flan
hawa wanakuajiri onbehalf of tigo,wana'link' between workers and employers,,
wao wanachukua percent flani
si unajua mjin shule??
 
daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?
 
daaaaaaaa najua bado ila kwa upande wa position ilikua ni tigo bima jaribuni kuwa uliza waliopata wamepata nafasi gani?

Hiyohiyo huduma ya bima, washachaguliwa hadi wa kuingia mtaani na wa kukaa kwenye simu....labda kama wataita kundi jengine baadae
 
jamani hizi interview za kiswahili nazo wanatubania mfano kazi za infinity tumefanya na tume kosa je huu ni uungwana au ndio kujuana
 
Back
Top Bottom