N NEEMA JS Member Joined May 30, 2011 Posts 10 Reaction score 3 Jan 17, 2012 #1 Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba tujuzane humu
Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba tujuzane humu
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 642 Jan 17, 2012 #2 Tulia mkuu. Jamaa wako smart mno, whether umekuwa shortlisted au la lazima watakutaarifu
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 642 Jan 17, 2012 #3 Kama umekosa watakuambia mapungufu ya application na nini ufanye next time ili uwin kazi hapo kwao
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,580 Jan 17, 2012 #4 Polisi said: Tulia mkuu. Jamaa wako smart mno, whether umekuwa shortlisted au la lazima watakutaarifu Click to expand... Oxfam hawa hawa ninaowafahamu mimi ndo wako makini au wamebadilika siku hizi??!
Polisi said: Tulia mkuu. Jamaa wako smart mno, whether umekuwa shortlisted au la lazima watakutaarifu Click to expand... Oxfam hawa hawa ninaowafahamu mimi ndo wako makini au wamebadilika siku hizi??!
U UNIQUE Senior Member Joined Mar 31, 2011 Posts 180 Reaction score 21 Jan 18, 2012 #5 Oxfarm wanatangaza kazi sana kama geresha wana watu wao. Binafsi nimeacha kuomba kazi kwao. Wanafanya head hunting.
Oxfarm wanatangaza kazi sana kama geresha wana watu wao. Binafsi nimeacha kuomba kazi kwao. Wanafanya head hunting.