Feedback kazi za oxfam

Feedback kazi za oxfam

NEEMA JS

Member
Joined
May 30, 2011
Posts
10
Reaction score
3
Ndugu wana jf..poleni kwa msiba wa dada yetu regia

naombeni kujuzwa kama kuna updates zozote za oxfam gb- walitangaza kazi nyingi dedline ilikuwa december 31, kama kuna yeyote anaefahamu naomba tujuzane humu
 
Tulia mkuu. Jamaa wako smart mno, whether umekuwa shortlisted au la lazima watakutaarifu
 
Kama umekosa watakuambia mapungufu ya application na nini ufanye next time ili uwin kazi hapo kwao
 
Oxfarm wanatangaza kazi sana kama geresha wana watu wao. Binafsi nimeacha kuomba kazi kwao. Wanafanya head hunting.
 
Back
Top Bottom