Mbona umeshauona ni mzuri sana kabla ya kujua ufanisi wake?Huu mfumo ni mzuri sana, Ila sjajua feedback ya huduma tulizoziomba tunazipataje na kwa muda gani, kwa anayejua au alishawahi pewa feedback atupe elimu kidogo.
Duh hii kitu sidhani kama nikweli mkuuHalafu wanakatia watu mishahara kisa hawajajiunga kwenye pepmis waache kutengeneza taharuki kwenye utumishi wa umma! Unakuta eti walimu 700 wote wanaitwa halmashauri kisa mfumo kupewa onyo hao wanafunzi wanabaki nani? Huko mashuleni?