Feedback: Natafuta mchumba

Feedback: Natafuta mchumba

unaleta mazereu enhee kisa sie waswahili poa tu uzur jf ni nyumban utakuja tu ki namna nyengine
 
Uta prove shortly kama vigezo ulivyotumia vinaweza kumleta mume mwema. Unajidanganya sana sisi wanaume tunaweza kujifitisha kwenye unachotaka lakini tukishamaliza mahitaji yetu then tunakuwa real. Tukianza kuwa real utatamani kurudi humu uwatafute wale uliowatukana.
 
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and naomba mungu aweke mkono wake tufike mahali pazuri. Waliojitokeza ni wengi na asilimia 90 ni mamluki meaning serengeti boys wanaotafuta kulelewa, waume za watu wenye misongo ya mawazo na wengine matapeli tu yani wahuni yu. 10% walionekana serious. Na hii percent ya waliokua serious karibu wote wamesoma ulaya na wengine wapo masomoni ulaya. Nimegundua wabongo tuna tatizo la exposure Halafu pia wanaume wa kibongo hama respect Kwa wanawake Yani you take women for.granted. in short nimeona the power of education hata kwenye mambo ya mahusiano. Asanteni nyote mlioonyesha interest na wale waliotukana pia asanteni. Nataka kufunga akaunti hiI na nijotea kabisa Jamiii forum.
we kumbe mlugaluga huyo uliyempata ndio kubwa la maadui,we subiri kama hutakuja umeshika chupi mkononi unalia subiri
 
Mm nahitaji wa hapa hapa mtz kama mm sina haja ya elimu yake ila muhim mtz kama yupo anione tutaongea ninakipato na kaxi yangu sina shaka muhim ni mke kwa sasa. Asnteni
 
Uta prove shortly kama vigezo ulivyotumia vinaweza kumleta mume mwema. Unajidanganya sana sisi wanaume tunaweza kujifitisha kwenye unachotaka lakini tukishamaliza mahitaji yetu then tunakuwa real. Tukianza kuwa real utatamani kurudi humu uwatafute wale uliowatukana.
Usitukane wakunga uzazi bado ungalipo na usiache mbachao kwa msala ..,...........
 
kuwa mwangalifu wanaume wa ulaya wanatafuta wasaidizi wa mabox😕😕😕😕😕😕
 
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and naomba mungu aweke mkono wake tufike mahali pazuri. Waliojitokeza ni wengi na asilimia 90 ni mamluki meaning serengeti boys wanaotafuta kulelewa, waume za watu wenye misongo ya mawazo na wengine matapeli tu yani wahuni yu. 10% walionekana serious. Na hii percent ya waliokua serious karibu wote wamesoma ulaya na wengine wapo masomoni ulaya. Nimegundua wabongo tuna tatizo la exposure Halafu pia wanaume wa kibongo hama respect Kwa wanawake Yani you take women for.granted. in short nimeona the power of education hata kwenye mambo ya mahusiano. Asanteni nyote mlioonyesha interest na wale waliotukana pia asanteni. Nataka kufunga akaunti hiI na nijotea kabisa Jamiii forum.
Na siku ukumisalitiwa ulete mrejesho
 
Hongera my kwa ujasiri niwatu wachache wenyekuweza hayo Mimi mwenyew natafuta mwenza wa kufa na kuzikana ila naona aibu kutangaza hahahhaha. Sasa kupitia kwako naomba nitangaza nahitaji mume mwenye upendo wa dhati serious hakuna kuchakachua mpk ndoa hahahhaha awe mwislam au awe tayari kubadili dini tu mengine atajiongeza sio kiben ten kjnachotafuat kulelewa no mwanaume mwenyekujua wajibu wake kwa mke ingawa na Mimi sio MTU wakusubira niletewe yaani ni fighter mzuri milango wazi
 
Back
Top Bottom