Umeongea kwa huruma sanaaaa vp kwani?Dah mapenzi yanachagua nchi ulaya jamani tubadilikeee
we kumbe mlugaluga huyo uliyempata ndio kubwa la maadui,we subiri kama hutakuja umeshika chupi mkononi unalia subiriHello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and naomba mungu aweke mkono wake tufike mahali pazuri. Waliojitokeza ni wengi na asilimia 90 ni mamluki meaning serengeti boys wanaotafuta kulelewa, waume za watu wenye misongo ya mawazo na wengine matapeli tu yani wahuni yu. 10% walionekana serious. Na hii percent ya waliokua serious karibu wote wamesoma ulaya na wengine wapo masomoni ulaya. Nimegundua wabongo tuna tatizo la exposure Halafu pia wanaume wa kibongo hama respect Kwa wanawake Yani you take women for.granted. in short nimeona the power of education hata kwenye mambo ya mahusiano. Asanteni nyote mlioonyesha interest na wale waliotukana pia asanteni. Nataka kufunga akaunti hiI na nijotea kabisa Jamiii forum.
Usitukane wakunga uzazi bado ungalipo na usiache mbachao kwa msala ..,...........Uta prove shortly kama vigezo ulivyotumia vinaweza kumleta mume mwema. Unajidanganya sana sisi wanaume tunaweza kujifitisha kwenye unachotaka lakini tukishamaliza mahitaji yetu then tunakuwa real. Tukianza kuwa real utatamani kurudi humu uwatafute wale uliowatukana.
Heri yako. Mungu akupe haja ya moyo wakoMm nahitaji wa hapa hapa mtz kama mm sina haja ya elimu yake ila muhim mtz kama yupo anione tutaongea ninakipato na kaxi yangu sina shaka muhim ni mke kwa sasa. Asnteni
Na siku ukumisalitiwa ulete mrejeshoHello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and naomba mungu aweke mkono wake tufike mahali pazuri. Waliojitokeza ni wengi na asilimia 90 ni mamluki meaning serengeti boys wanaotafuta kulelewa, waume za watu wenye misongo ya mawazo na wengine matapeli tu yani wahuni yu. 10% walionekana serious. Na hii percent ya waliokua serious karibu wote wamesoma ulaya na wengine wapo masomoni ulaya. Nimegundua wabongo tuna tatizo la exposure Halafu pia wanaume wa kibongo hama respect Kwa wanawake Yani you take women for.granted. in short nimeona the power of education hata kwenye mambo ya mahusiano. Asanteni nyote mlioonyesha interest na wale waliotukana pia asanteni. Nataka kufunga akaunti hiI na nijotea kabisa Jamiii forum.
Hahaaaaawe kumbe mlugaluga huyo uliyempata ndio kubwa la maadui,we subiri kama hutakuja umeshika chupi mkononi unalia subiri
Hivyo? Hahaaakuwa mwangalifu wanaume wa ulaya wanatafuta wasaidizi wa maboxππππππ