Feedback ya :Anatafutwa Mzee Michael JUMA mkazi ya Masasi na Mtwara

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
820
Reaction score
917
Za siku sana jf? Miaka ya nyuma niliweka hapa bandikoANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini.Baada ya muda kupita nilitoa na tsh 500,000/ kama zawadi ya atakayefanikisha kumpata bahati mbaya hatumpata kabisa.

Kiufipi huju Mzee alikuwa askari magereza miaka ya 1980S,alianzia kazi gereza la mkoa wa singida kwenye mwaka 1979,na akaoa huko mama wa kinyiramba alikuwa anaitwa Mama Ana(jina la mwanye wa kwanza) badae miaka ya 1980S akamia gereza la Musoma mjini na wakati huo Ana alikuwa ameachiswa ziwa.Huyu mzee alizaliwa miaka 1954S

Kwa maelezo ya mtoa taarifa wetu Mzee alikuwa kwenye kitengo Cha kalakana-uselemala na kwenye miaka 1990S aliacha kazi na kurudi kwao (hapa hatuna uhakika alrudi Masasi au Mtwara) na inasadikika alianzisha kalakana yake.

Soma Pia: Atakayetoa taarifa sahihi ya kupatikana Mzee Michael Juma, zawadi Tsh 500,000/ au zaidi

Kwa umri wake kama yupo hai atakuwa Mzee sana.Tulifanikisha kufanya ufatiliaji muda mrefu toka mwaka 2016 kwa lengo kuu la kumpata Ana au wanae kama mungu alimjalia au ndugu wa Ana kama wapo maana wanaweza kuwa wanatumia mitandao ya kijamii lakini hatufanikisha

Kiufipi tulipambana sana.Kwa moyo wa upendo tunawashukuru wote kwa ushirikiano wenu ,kwa watu walotupa ushirikiano(iringa,mbeya, Mtwara)licha ya kuwa kila swala halikosi changamoto Kuna wale walotaka pesa tu na hawakuwa na taarifa sahihi.Asanteni sana.
 
Aisee, nakupa pole sana kwani inaonekana hukufanikiwa, na naamini ilikuwa kwa heri tu.
 
Pole na asante kwa mrejesho je mmefanikiwa kumpata?
 
Hatukumpata kaka,ilikuwa ni kwa Nia njema tu ya kumsaidia.
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
 
Daah pole sana mkuu ,basi itakuwa Details zake siyo sahihi ,ujue kuna watu wana majina tofauti ya waliokuwa wanatumia awali.

Mimi kuna jamaa namjua kwao ana jina jingine na huku kitaani kwetu anajulikana kwa jina jingine.

Ukienda Iramba ukiulizia "LuguMwi" hautompata labda Lameck Madelu.

Ukienda Nzega ukamuulizia Hamisi hautompata labda Said Bagaile.

Ukienda Kolomije ukamuulizia "MADEREVA" hautompata labda Daudi Albert Bashite.
 
Kupotelewa na mtu na usijue alipo pengine ana hali gani inaumiza mnoo😢
 
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Monawaito
Za siku...mmmh wakiraa igha kirii
 
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Kila Kona tulifika kaka,kumbuka miaka hiyo ya 1980S documents zote zilikuwa za kuandikwa kwa mkono na kila kitu tulifatilia.
Hakuna hata picha yake mliyobakiwa nayo?
Bahati mbaya sana hata picha yake hatukuipata ni maelezo tu kama tulivyopewa.Kimsingi kama huyo Binti take mkubwa Ana angekuwa mtu wa mitandao ya kijamii tungempata kirahisi ata kupitia kwa watoto wa Ana wangeunganisha doti kupitia bandiko hili
 
Itabidi media zote zikubaliane angalau kwa week kipindi cha dakika 15 kuwaulizia waliopetelewa na watu wao yaani kipindi kinaruka kwa vyombo vyote vya habari
 
Kila Kona tulifika kaka,kumbuka miaka hiyo ya 1980S documents zote zilikuwa za kuandikwa kwa mkono na kila kitu tulifatilia.

Bahati mbaya sana hata picha yake hatukuipata ni maelezo tu kama tulivyopewa.Kimsingi kama huyo Binti take mkubwa Ana angekuwa mtu wa mitandao ya kijamii tungempata kirahisi ata kupitia kwa watoto wa Ana wangeunganisha doti kupitia bandiko hili

Poleni sana
 
Back
Top Bottom