Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 820
- 917
Aisee, nakupa pole sana kwani inaonekana hukufanikiwa, na naamini ilikuwa kwa heri tu.Za siku sana jf? Miaka ya nyuma niliweka hapa bandikoANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini.Baada ya muda kupita nilitoa na tsh 500,000/ kama zawadi ya atakayefanikisha kumpata bahati mbaya hatumpata kabisa.
Kiufipi huju Mzee alikuwa askari magereza miaka ya 1980S,alianzia kazi gereza la mkoa wa singida kwenye mwaka 1979,na akaoa huko mama wa kinyiramba alikuwa anaitwa Mama Ana(jina la mwanye wa kwanza) badae miaka ya 1980S akamia gereza la Musoma mjini na wakati huo Ana alikuwa ameachiswa ziwa.Huyu mzee alizaliwa miaka 1954S
Kwa maelezo ya mtoa taarifa wetu Mzee alikuwa kwenye kitengo Cha kalakana-uselemala na kwenye miaka 1990S aliacha kazi na kurudi kwao (hapa hatuna uhakika alrudi Masasi au Mtwara) na inasadikika alianzisha kalakana yake.
Soma Pia: Atakayetoa taarifa sahihi ya kupatikana Mzee Michael Juma, zawadi Tsh 500,000/ au zaidi
Kwa umri wake kama yupo hai atakuwa Mzee sana.Tulifanikisha kufanya ufatiliaji muda mrefu toka mwaka 2016 kwa lengo kuu la kumpata Ana au wanae kama mungu alimjalia au ndugu wa Ana kama wapo maana wanaweza kuwa wanatumia mitandao ya kijamii lakini hatufanikisha
Kiufipi tulipambana sana.Kwa moyo wa upendo tunawashukuru wote kwa ushirikiano wenu ,kwa watu walotupa ushirikiano(iringa,mbeya, Mtwara)licha ya kuwa kila swala halikosi changamoto Kuna wale walotaka pesa tu na hawakuwa na taarifa sahihi.Asanteni sana.
Hatukumpata kaka,ilikuwa ni kwa Nia njema tu ya kumsaidia.Pole na asante kwa mrejesho je mmefanikiwa kumpata?
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kaziHatukumpata kaka,ilikuwa ni kwa Nia njema tu ya kumsaidia.
MonawaitoUnatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Namaiya mura weitoMonawaito
Za siku...mmmh wakiraa igha kirii
Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Kila Kona tulifika kaka,kumbuka miaka hiyo ya 1980S documents zote zilikuwa za kuandikwa kwa mkono na kila kitu tulifatilia.Unatafuta mtu hujui yuko katika hali gani, anafanya nini, unajiandaa kumpa msaada kweli? OK na huko Musoma mlifika kama ndiyo ilikuwa kituo chake cha mwisho kufanya kazi
Bahati mbaya sana hata picha yake hatukuipata ni maelezo tu kama tulivyopewa.Kimsingi kama huyo Binti take mkubwa Ana angekuwa mtu wa mitandao ya kijamii tungempata kirahisi ata kupitia kwa watoto wa Ana wangeunganisha doti kupitia bandiko hiliHakuna hata picha yake mliyobakiwa nayo?
Kila Kona tulifika kaka,kumbuka miaka hiyo ya 1980S documents zote zilikuwa za kuandikwa kwa mkono na kila kitu tulifatilia.
Bahati mbaya sana hata picha yake hatukuipata ni maelezo tu kama tulivyopewa.Kimsingi kama huyo Binti take mkubwa Ana angekuwa mtu wa mitandao ya kijamii tungempata kirahisi ata kupitia kwa watoto wa Ana wangeunganisha doti kupitia bandiko hili