Feedback ya kumtafuta mchumba

Njoo kwangu tupimane vigezo
 
Tuongee
 
Pole sana, weka picha yako wakupe muongozo...
 
Niliingia pm za watu wawili tofauti siku tofauti walioweka tangazo la kutafuta mume lakini hamna aliyenijibu kati yao tangu siku hiyo wanawake wanaoweka matangazo humu naona tu wamevuruga au wanatarget zao

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Dah pole dada angu
 
watu wapo serious inaonekana mnajichanganya nyie wenyewe

mtu hata kuonana nae hujaonana nae mnataka aanze kutoboka

hapo ndio wengi wenu mnapoenda kichakani

we mtu hujaonana nae utaskia naomba 50 elfu nikanunje gas

sasa hamuoni kama mna haribu?
 
Sio wote, lkn pia kwa nn munamshangaa mwanamke anayeomba pesa, wakati mwanaume yy ni rahisi kuomba ngono. Jf ni km mji wako watu na tabia zao.
Ni process kweli kupata mtu sahihi lkn MUNGU akitaka unapata
 
Njoo Pm Mimi sihitaji mke personal lakini naweza kukusogeza Sehemu sahihi.maana if ur real wife material, beutiful enough, God fearing and charm plus humble ur welcome kwenye familia ya watakatifu.
Sio wote, lkn pia kwa nn munamshangaa mwanamke anayeomba pesa, wakati mwanaume yy ni rahisi kuomba ngono. Jf ni km mji wako watu na tabia zao.
Ni process kweli kupata mtu sahihi lkn MUNGU akitaka unapata
 
Kimoko cha kutestia mitambo kama ni piru ama hakavu tafadhali
 
Umepata mume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…