Sawe,Wapendwa wana JF,
Kama mtakumbuka NM-Institute of Science and Technology walimwaga nafasi nyingi sana za kazi na deadline yao ilikuwa 31st dec, 2011 . Plse naomba kama kuna mtu yeyote yule ambaye anaweza kutupatia uptodates za huko kujua nini kinaendelea aweze kutufahamisha.
Mimi ni mmoja wa applicants so I am so curious to know whats going on!
@Saweboy
bado wako kwenye mchakato. Nimepata uhakiki leo jioni kwa mwanangu 1 aliyeko pande hizo,naye ni applicant
Brother hilo umelionae!!!duh.. Inaonyesha humu wengi mna Masterz nd PHD. Maana ajira nyingi za pale ni Masters nd PHD. Kutoa moja tu iliyokuwa inahitaji mtu mwenye "Adv diploma in computer science/IT" kama ndo ivo Ngoja na mimi nisome kwa bidii nifike Masterz. Mh... LAKINI HAPANA AU WOTE MLI APPLY AKA KA COZI KAMOJA NNI.