Feedback za nelson mandela - arusha

Feedback za nelson mandela - arusha

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Wapendwa wana JF,

Kama mtakumbuka NM-Institute of Science and Technology walimwaga nafasi nyingi sana za kazi na deadline yao ilikuwa 31st dec, 2011 . Plse naomba kama kuna mtu yeyote yule ambaye anaweza kutupatia uptodates za huko kujua nini kinaendelea aweze kutufahamisha.

Mimi ni mmoja wa applicants so I am so curious to know whats going on!

@Saweboy
 
I think itakua bado mapema sana sasa hivi..deadline si ilikua juzi tu hapo
 
naona bado wanaendelea na mchakato, au piga simu utupe majibu maana nam ni mmoja wao ila hata credit sina, chek no zao kwenye tovuti
 
Wapendwa wana JF,

Kama mtakumbuka NM-Institute of Science and Technology walimwaga nafasi nyingi sana za kazi na deadline yao ilikuwa 31st dec, 2011 . Plse naomba kama kuna mtu yeyote yule ambaye anaweza kutupatia uptodates za huko kujua nini kinaendelea aweze kutufahamisha.

Mimi ni mmoja wa applicants so I am so curious to know whats going on!

@Saweboy
Sawe,
Bado.Vuta subira.
 
bado wako kwenye mchakato. Nimepata uhakiki leo jioni kwa mwanangu 1 aliyeko pande hizo,naye ni applicant
 
duh.. Inaonyesha humu wengi mna Masterz nd PHD. Maana ajira nyingi za pale ni Masters nd PHD. Kutoa moja tu iliyokuwa inahitaji mtu mwenye "Adv diploma in computer science/IT" kama ndo ivo Ngoja na mimi nisome kwa bidii nifike Masterz. Mh... LAKINI HAPANA AU WOTE MLI APPLY AKA KA COZI KAMOJA NNI.
 
bado wako kwenye mchakato. Nimepata uhakiki leo jioni kwa mwanangu 1 aliyeko pande hizo,naye ni applicant

Asante mkuu, unajua mimi sina imani sana na ajira za Tz kwa maana uchakachuaji ni mkubwa mkuu, hata hivyo nashukuru kwa kunipa taairfa na matumaini ya kuwa mchakato bado unaendelea! Hata hivyo kwa lolote lile utakalolipata nakuomba utujuze hapa jamvini au hata kwa pm kiongozi! Kazi njema mkuu
 
Sawe,
Bado.Vuta subira.

Poa mkuu, mie naendelea kuwa na subira huku napalilia mahindi yangu na kutia mbolea huku kijijini mchomoro! Lakini ukipata feedback naomba unifahamishe mkuu!

@Saweboy
 
duh.. Inaonyesha humu wengi mna Masterz nd PHD. Maana ajira nyingi za pale ni Masters nd PHD. Kutoa moja tu iliyokuwa inahitaji mtu mwenye "Adv diploma in computer science/IT" kama ndo ivo Ngoja na mimi nisome kwa bidii nifike Masterz. Mh... LAKINI HAPANA AU WOTE MLI APPLY AKA KA COZI KAMOJA NNI.
Brother hilo umelionae!!!
hata mimi nashangaa watu kibao wameapply, kumbe kweli Jf ni jukwaa la wasomi, Msc,PhDs,prof! du! inabidii sisi ambao hatujafikia humo tukomae, tuachane kwanza na valeur /kiroba
 
Back
Top Bottom