feeling lonely but not alone

feeling lonely but not alone

Chauro

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
2,968
Reaction score
1,478
have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
 
The answear as to why (the cause) might give you the HOW to overcome it...
 
Labda kale kakipindi kafupi ka mkorogano, wengine tunakimbilia lager na sio nyumba ndogo
 
Ndo maana mtu mmoja alisema mambo yote hapa duniani ni ubatili mtupu na kujilisha upepo.Afadhali kuishi kwa kumtegemea Mungu zaidi katika kila jambo na kila situation.

Macho hayachoki kuona wala sikio halichoki kusikia,
Heri aliyemfanya bwana kuwa tumaini lake. Kwamba uko single or married hakuna siku nafsi itaridhika, afadhali kumtumani Mungu.
 
wazembe ndoo wanafeel lonely!!

Hapana TT, amini usiamini wako wengi sana ndani ya ndoa wana hali kama hii na kamwe haisababishwi na uzembe wao.
 
Whwn you feel lonely even if you're in marriage, the answer is that you are married to a wrong person!!! If you can't undo your marriage, just learn how to live with that situation.
 
Hii ni kweli kabisa na inatokea kwa wetu wengi sana bt people pretend tu
lakini lazima kuwe na reason behind,its very hard to feel lonly kama ukiwa na mpenzi unayempenda kwa dhati na wakati wote
 
Yah kweli kabio ujisikie hivyu kinachofanya kitsa ila lazima kuna
 
Pole my dear Chauro,itapita....try the following:

  • Try to have some fun with your friends especially those who are married
  • Try to do what you love doing most as in hobbies,go shopping,beach,church do some community services
  • Communicate how you feel with your husband,he can be of great help
  • talk about this to your family....with limits especially your mother,sister or those who really cares
  • If you had any problem before you started feeling this way with your husband then talk to him,take your time to heal and pray
 
Ukijua nini kinapelekea kujiskia hivyo ndio utaweza kutafuta jinsi ya kuishinda hiyo hali!!Inawezekana ni mwenzio kabadilika..hamuwezi kuongea kama zamani..hamsikilizani..hamuelewani..ukaribu umepungua au umepotea kabisa..in that case unatakiwa ujaribu kurudisha hicho kinachokosekana kwa kuongea nae na kufanyia kazi pamoja!Kama mmoja wenu amebadilika kitabia au kimawazo au mwenendo jaribu kujua kwanini kisha muelezane ukweli..kama mabadiliko yanawezekana mjitahidi kuyafanya au mzoeane upya!
 
Pole my dear Chauro,itapita....try the following:

  • Try to have some fun with your friends especially those who are married
  • Try to do what you love doing most as in hobbies,go shopping,beach,church do some community services
  • Communicate how you feel with your husband,he can be of great help
  • talk about this to your family....with limits especially your mother,sister or those who really cares
  • If you had any problem before you started feeling this way with your husband then talk to him,take your time to heal and pray

Mmmhhh michelle unautaalamu wa psychology????:twitch:
 
thanks michell ntajaribu kufanyia haya kazi

Back
Top Bottom