Ndo wachambuzi wanaoaminika Tanzania Kwa upumbavu wao. Yaani dereva wa Harrier anusurike Kwa kumgonga mwendesha bodaboda?Shaffih Dauda ni bonge la fala yani
Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana
Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"
Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Yanga wacheni roho mbaya kwa nini mnataka kumtoa roho huyu dogo?Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.
Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo cha zamani akielekea Mjini ndipo ilipogongana na Bodaboda yenye namba za usajili Z 423 KL.
Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.
"Ni kweli imetoka ajali hapa Fuoni Gari aina ya Harrier imegongana na Bodaboda, Gari ni ya yule bwana mdogo mchezaji wa Yanga Fei, lakini ni ajali ndogo tu hakuna aliyeumia"-Mkuu wa Kituo Cha Polisi Fuoni.
Kwa aibu naona ka edit baada ya watu kumkosoaNdo wachambuzi wanaoaminika Tanzania Kwa upumbavu wao. Yaani dereva wa Harrier anusurike Kwa kumgonga mwendesha bodaboda?
Shaffih Dauda ni bonge la fala yani
Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana
Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"
Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Kolo unateseka ukiwa wapi?[emoji1787][emoji1787]Fei ni mashuhuri ndio maana utopolo mpaka leo bado wanapiga simu za kubembeleza, hata kama akipata ajali ndogo, lazima iwe habari, itatofautiana vichwa vya habari tu.
Maumivu yakizidi muone daktariChuki za kijinga za usimba na yanga zinaua kipaji cha fei toto
Aisifiae mvua...Yanga kwa uchawi hakuna team Africa mashariki inawafikia ni vile tu ajali kazini.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Akina nani?Hawana huo uwezo
Unateseka ukiwa Tunisia au bongo nyosoWazee wa uto wako kazini kumtoa kafara mtoto wa watu ili washinde dhidi ya tp mazembe
Simba ndio timu iliyo thibitishwa na CAF pamoja na Tff Kwa ushirikina ndani na nje ya nchi. Inasemekana Caf wameiweka Simba kwenye angalizo hasa kwenye timu zinazo ongoza kwenye ushirikina.Yanga kwa uchawi hakuna team Africa mashariki inawafikia ni vile tu ajali kazini.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kamati ya UtamaduniWazee wa Yanga
Ngoja nikifundishe baadhi ya vituKwani umelazimishwa kusoma post zake?
Nani amekulazimisha kum-follow?
Bila aibu Wala Soni waliwanga mbele ya maelfu ya watu kule South AfricaNdiyo akili zenu hizi! Mnaamini kila kitu ni ushirikina tu. Mlipigwa mpaka faini ya dola elfu 10 na CAF mwaka jana, kwa sababu tu ya imani za kishirikina!!
Huenda wamekwaruzana tu ila jambo limekuuzwaKatika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.
Ngoja nikifundishe baadhi ya vitu
Siku hizi sio mpaka nim-follow ndio nione post zake
Siku hizi kwenye news feed kuna suggestion posts ambazo zinaonesha post za watu ambazo hujawa follow, ukiwa interested unaweza ukawa follow
Siku hizi unaweza ukapata taarifa za post ya mtu ambaye hujam follow kupitia mtu mwingine uliye m-follow, huyo mtu akawa anapost screenshot za mtu mwingine ambaye hujam-follow
Kadhatupiwa jini mauti..... Shauri yake..Yanga wacheni roho mbaya kwa nini mnataka kumtoa roho huyu dogo?
Shaffih Dauda ni bonge la fala yani
Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana
Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"
Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Simba ndio timu iliyo thibitishwa na CAF pamoja na Tff Kwa ushirikina ndani na nje ya nchi. Inasemekana Caf wameiweka Simba kwenye angalizo hasa kwenye timu zinazo ongoza kwenye ushirikina.
Ivi ninavyo andika Kuna Wana Simba wanalinda uwanja Kwaajili ya mechi dhidi ya Raja.