Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

Fei Toto anusurika ajalini Fuoni

Shaffih Dauda ni bonge la fala yani

Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana

Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"

Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
Ndo wachambuzi wanaoaminika Tanzania Kwa upumbavu wao. Yaani dereva wa Harrier anusurike Kwa kumgonga mwendesha bodaboda?
 
Mchezaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum Abdallah (Fei toto) amepata ajali mchana wa leo Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.

Ajali hiyo imehusisha Gari yake aina ya Harrier nyeupe yenye namba za usajili Z 160 MW huku dereva akiwa ni mwenyewe Feitoto akitokea Fuoni kituo cha zamani akielekea Mjini ndipo ilipogongana na Bodaboda yenye namba za usajili Z 423 KL.

Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.

"Ni kweli imetoka ajali hapa Fuoni Gari aina ya Harrier imegongana na Bodaboda, Gari ni ya yule bwana mdogo mchezaji wa Yanga Fei, lakini ni ajali ndogo tu hakuna aliyeumia"-Mkuu wa Kituo Cha Polisi Fuoni.
Yanga wacheni roho mbaya kwa nini mnataka kumtoa roho huyu dogo?
 
Ndo wachambuzi wanaoaminika Tanzania Kwa upumbavu wao. Yaani dereva wa Harrier anusurike Kwa kumgonga mwendesha bodaboda?
Kwa aibu naona ka edit baada ya watu kumkosoa

Huyu ana ile mentality ya kipuuzi ya kutaka kuonekana yeye ndio wakwanza kupost habari.

Anajifanya ni mtu flani ambaye kila jambo linalohusu mpira au mchezaji basi lazima lianzie kupitia kwake na yeye ndie chombo cha kwanza kuripoti, wengine wakipost basi wamechukua kutoka kwenye source yake.
 
Kwani umelazimishwa kusoma post zake?
Nani amekulazimisha kum-follow?
Shaffih Dauda ni bonge la fala yani

Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana

Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"

Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story
 
Fei ni mashuhuri ndio maana utopolo mpaka leo bado wanapiga simu za kubembeleza, hata kama akipata ajali ndogo, lazima iwe habari, itatofautiana vichwa vya habari tu.
Kolo unateseka ukiwa wapi?[emoji1787][emoji1787]
 
Yanga kwa uchawi hakuna team Africa mashariki inawafikia ni vile tu ajali kazini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Simba ndio timu iliyo thibitishwa na CAF pamoja na Tff Kwa ushirikina ndani na nje ya nchi. Inasemekana Caf wameiweka Simba kwenye angalizo hasa kwenye timu zinazo ongoza kwenye ushirikina.
Ivi ninavyo andika Kuna Wana Simba wanalinda uwanja Kwaajili ya mechi dhidi ya Raja.
 
Kwani umelazimishwa kusoma post zake?
Nani amekulazimisha kum-follow?
Ngoja nikifundishe baadhi ya vitu

Siku hizi sio mpaka nim-follow ndio nione post zake

Siku hizi kwenye news feed kuna suggestion posts ambazo zinaonesha post za watu ambazo hujawa follow, ukiwa interested unaweza ukawa follow

Siku hizi unaweza ukapata taarifa za post ya mtu ambaye hujam follow kupitia mtu mwingine uliye m-follow, huyo mtu akawa anapost screenshot za mtu mwingine ambaye hujam-follow
 
Katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia zaidi ya Gari kuharibika mbele na Bodaboda imeharibika ambapo mpaka sasa Vyombo hivyo vipo kituo cha Polisi Fuoni.
Huenda wamekwaruzana tu ila jambo limekuuzwa
Zbr buana!!!
 
Asante kwa elimu, nilijua ni wale anam-follow adui yake.
Ngoja nikifundishe baadhi ya vitu

Siku hizi sio mpaka nim-follow ndio nione post zake

Siku hizi kwenye news feed kuna suggestion posts ambazo zinaonesha post za watu ambazo hujawa follow, ukiwa interested unaweza ukawa follow

Siku hizi unaweza ukapata taarifa za post ya mtu ambaye hujam follow kupitia mtu mwingine uliye m-follow, huyo mtu akawa anapost screenshot za mtu mwingine ambaye hujam-follow
 
Shaffih Dauda ni bonge la fala yani

Nimeiona hii habari kaiandika kishambenga sana

Title ya Bandiko lake kasema "Feisal anusurika kifo"

Anafanya hivyo kwa ajili ya upumbavu wa kitoto tu kwa ajili ya ku catch attention watu wasome the whole story

Kuna mtu anaongoza hiko chombo na sio shaffih Dauda
 
Ndo maana mlibandikwa huko Tunisia kwa baridi kali kisa mnaogopa kuota moto mtaambiwa wachawi...African minds yani hao wa south wenyewe wanga tuu...

Back
Top Bottom