Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MASHUJAA WAMEFUNGWA MECHI YA KWANZA UWANJANI KWAOYule kiungo mchezeshaji namba moja hapa nchini leo kaendelea kuonyesha ubora wake kwa kutoa assists 2 za viwango vya juu sana dhidi ya team ya Mashujaa kutoka kigoma katika mchezo ambao Azam Fc walionyesha kandanda safi na la kuvutia na kushinda jumla ya mabao 3 kwa nunge,
Mabao ya Azam Fc yalifungwa na
Kipre Jr
Gibril Sillah
Allasane Diao (Mwili tembo)
Fei toto ame assist goal la pili na la tatu kwa ustadi wa hali ya juu, ni ustadi ambao haujawahi onekana hapa bongo
View attachment 2800325
Mashujaa namna gani pale?Match ipo dakika ya 80
Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr
Silla
Allasane diao
Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sanaaaaa