Fei toto katoa Assists 2, Azam ikiua 3-0 kigoma

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Match ipo dakika ya 80

Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr
Silla
Allasane diao

Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sana.

 
Na maumivu makali mnoo yameenda kwa malalamiko fc
 
Yule kiungo mchezeshaji namba moja hapa nchini leo kaendelea kuonyesha ubora wake kwa kutoa assists 2 za viwango vya juu sana dhidi ya team ya Mashujaa kutoka kigoma katika mchezo ambao Azam Fc walionyesha kandanda safi na la kuvutia na kushinda jumla ya mabao 3 kwa nunge,

Mabao ya Azam Fc yalifungwa na
Kipre Jr
Gibril Sillah
Allasane Diao (Mwili tembo)

Fei toto ame assist goal la pili na la tatu kwa ustadi wa hali ya juu, ni ustadi ambao haujawahi onekana hapa bongo
 
MASHUJAA WAMEFUNGWA MECHI YA KWANZA UWANJANI KWAO
 
Match ipo dakika ya 80

Magoli ya Azam yamefungwa na Kipre Jr
Silla
Allasane diao

Kijana wetu bora Fei toto katoa Assist moja safi sanaaaaa
Mashujaa namna gani pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…