Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Nadhani tatizo ni Utopolo kuongozwa na watu waliokosa elimu.tatizo la fei toto ni kukosa elimu
Walishindwaje kuzungumza naye mwaka jana kuboresha mkataba & kumfunga kwa miaka mingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tatizo ni Utopolo kuongozwa na watu waliokosa elimu.tatizo la fei toto ni kukosa elimu
... ndiyo mwisho wake kimpira.Pesa atapata lakini...
Kwani hana wakala au mwanasheria wa kumwakilisha? Kwamba kaenda front mwenyewe kuchukua fedha Azam? Athletes wote duniani kwa sasa wanatazama maslahi kwani umri unasonga na baada ya muda hawatakua na peak walizonazo kwa sasa hivyo ni lazima wawe opportunist. Mfano mzuri Sadio Mane kutoka Liverpool kwend Beyern Munich etc.Ni ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu hii ya Jangwani.
Hakika litakuwa pigo kwa Yanga, lakini kuna msemo unasema "watu uja na kuondoka" na huu ni wakati wa Yanga kuachana na Fei Toto.
Taratibu za kimkataba zinatakiwa kufuatwa kwa pande zote mbili kurudi kwenye misingi ya kimkataba na kupata majadiriano ya pamoja.
Kwenda Azam sports club kwa Fei Toto nadhani ni kurudi nyuma kwake, japo kimaslahi inawezekana ikawa na faida kwa upande wake.
Kipindi hiki Azam imetumia njia moja ama nyingine kuivuruga Yanga nje ya uwanja. Kwa hesabu za Azam ni ukweli uliowazi kuwa wasingiweza kuikuta Yanga. Hiki walichokifanya nyuma ya pazia kwa kumlipa kinyemera Fei hili aweze kuondoka Yanga kinafaa kupigwa vita na wote wanopenda maendeleo ya mpira nchini. Kama walikuwa na nia ya dhati ya kumtaka Fei Toto wangepitia mkataba wake na Yanga na kwenda kuongea na wamiliki halili wa mchezaji na sio kutumia mbinu hii chafu ya kumlaghai mchezaji.
Kwa hakika Azam watakiwa kulaaniwa na kila mwanamichezo kwani wameukosea sana hemshima mpira wa miguu na wameikosea sana Yanga.
Dunia kote mkataba unavunjwa na pande mbili na siyo hiki halichokifanya Fei Toto.
Yanga kiutaratibu wanatakiwa kwenda kisheria, na hii ya kulinganisha mishahara baina ya wachezaji ni ujua wetu sisi. Mshahara unajadiliwa na pande mbili na kama ukikubari ma kusaini haitakiwi kujiringanisha na wengine. Ni mara nyingi sana mnaweza kuwa mnafanya kazi moja na pengine wewe ukawa unafanya kazi kubwa zaidi, lakini mwenzako hakakuzidi mshahara. Angalia mfano wa wafanyakazi wa kampuni, lengo la kampuni yoyote ni kupata kingi, wakati matumizi yakiwa kidogo. Yanga haina kosa kumlipa Fei Toto kiwango hicho, kwani yeye mwenyewe alikiridhia na kusaini.
Wachezaji wetu wanatakiwa kujifunza katika ku bargain vipengele vya mikataba na siyo kutia huruma kuwa mimi nalipwa kidogo kulingana na kazi nayofanya.
Azam waache hujuma za nje ya uwanja, wapambane ndani ya uwanja.
Kila la kheri Fei Toto, lakini tekeleza matakwa ya mkataba wako na Yanga, kama kuna timu inakuhitaji inatakiwa kukaa chini na Yanga na kuzungumza na si huu uhuni wa miaka ya 90.
Kwahiyo mtoa post unalia Fei Tofo kuondoka?Ni ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu hii ya Jangwani.
Hakika litakuwa pigo kwa Yanga, lakini kuna msemo unasema "watu uja na kuondoka" na huu ni wakati wa Yanga kuachana na Fei Toto.
Taratibu za kimkataba zinatakiwa kufuatwa kwa pande zote mbili kurudi kwenye misingi ya kimkataba na kupata majadiriano ya pamoja.
Kwenda Azam sports club kwa Fei Toto nadhani ni kurudi nyuma kwake, japo kimaslahi inawezekana ikawa na faida kwa upande wake.
Kipindi hiki Azam imetumia njia moja ama nyingine kuivuruga Yanga nje ya uwanja. Kwa hesabu za Azam ni ukweli uliowazi kuwa wasingiweza kuikuta Yanga. Hiki walichokifanya nyuma ya pazia kwa kumlipa kinyemera Fei hili aweze kuondoka Yanga kinafaa kupigwa vita na wote wanopenda maendeleo ya mpira nchini. Kama walikuwa na nia ya dhati ya kumtaka Fei Toto wangepitia mkataba wake na Yanga na kwenda kuongea na wamiliki halili wa mchezaji na sio kutumia mbinu hii chafu ya kumlaghai mchezaji.
Kwa hakika Azam watakiwa kulaaniwa na kila mwanamichezo kwani wameukosea sana hemshima mpira wa miguu na wameikosea sana Yanga.
Dunia kote mkataba unavunjwa na pande mbili na siyo hiki halichokifanya Fei Toto.
Yanga kiutaratibu wanatakiwa kwenda kisheria, na hii ya kulinganisha mishahara baina ya wachezaji ni ujua wetu sisi. Mshahara unajadiliwa na pande mbili na kama ukikubari ma kusaini haitakiwi kujiringanisha na wengine. Ni mara nyingi sana mnaweza kuwa mnafanya kazi moja na pengine wewe ukawa unafanya kazi kubwa zaidi, lakini mwenzako hakakuzidi mshahara. Angalia mfano wa wafanyakazi wa kampuni, lengo la kampuni yoyote ni kupata kingi, wakati matumizi yakiwa kidogo. Yanga haina kosa kumlipa Fei Toto kiwango hicho, kwani yeye mwenyewe alikiridhia na kusaini.
Wachezaji wetu wanatakiwa kujifunza katika ku bargain vipengele vya mikataba na siyo kutia huruma kuwa mimi nalipwa kidogo kulingana na kazi nayofanya.
Azam waache hujuma za nje ya uwanja, wapambane ndani ya uwanja.
Kila la kheri Fei Toto, lakini tekeleza matakwa ya mkataba wako na Yanga, kama kuna timu inakuhitaji inatakiwa kukaa chini na Yanga na kuzungumza na si huu uhuni wa miaka ya 90.
Pesa pesa pesa.Tafuteni pesa mengine mtazidishiwa,😂😂😂😂😂😂Na huu ndo ukweli.Hata ningekuwa mimi kama nimepata ofa nzuri na maslahi mazuri naondoka jata kama timu ilinitibu UKIMWI
Issue ile na ya MSHERY na hii ni tofauti kabisaaaa! Msikilize wakala wa Mshery alishalitoa maelezo, yanga, Mtibwa na Mshery walikaa meza moja kujadiliana mtibwa wakatoa mapendekezo yao yalipotimizwa ndo wakatoa ruhusa dogo kuondoka ingekuwa kinyume basi Tff wasingetoa kibari. Sema kwenye kulipana kati ya Yanga na Mtibwa ndo ikatokea kuchelewesheana wakati dogo alishaanza kuitumikia yangaHebu tukumbushane kidogo maana binadam tumeumbwa kusahau, ivi wakati ule MSHERY anasajiliwa pale Jangwani watu (Timu) walikaa meza ipi hiyo?....
Sawa nyuma mwiko"Nyuma mwiko"
Nilikuwa nakukumbusha kwenye sentensi yako kumalizia hiyo kitu
Kumbe ilikua hivyo unaanza kumtumia mchezaji kabla ya ktmalizana afu ikaonekana ni sawa tu, kisa wale ni Mtibwa FC.Issue ile na ya MSHERY na hii ni tofauti kabisaaaa! Msikilize wakala wa Mshery alishalitoa maelezo, yanga, Mtibwa na Mshery walikaa meza moja kujadiliana mtibwa wakatoa mapendekezo yao yalipotimizwa ndo wakatoa ruhusa dogo kuondoka ingekuwa kinyume basi Tff wasingetoa kibari. Sema kwenye kulipana kati ya Yanga na Mtibwa ndo ikatokea kuchelewesheana wakati dogo alishaanza kuitumikia yanga
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kasome kanuni za FIFA kwanza kuhusu kuvunja mkataba. Ni kweli mpira ni pesa lakini afuate taratibu zote alizokubali wakati anasaini mkataba wakeKumbe ilikua hivyo unaanza kumtumia mchezaji kabla ya ktmalizana afu ikaonekana ni sawa tu, kisa wale ni Mtibwa FC.
Haya tuje kwenye mfano unaendana sasa japo kwa % kadhaa... Ivi ule uhamaisho wa Neymar Jr kutoka Barcelona kwenda PSG kwani timu zilikaa meza ipi kufanya maridhiano ya kumnunua Neymar.
Yani kama nakiona kitengo cha sheria na suti zao wakifanya makosa tena, muda huu wajipange vizuri aisee maana BARCA na ukubwa wao wamewahi kufeli kwenye hili...
Soma vzrKwahiyo mtoa post unalia Fei Tofo kuondoka?
Yes hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. But kuondoka kulingana na vipengele ambavyo yeye kwa uelewa wake aliviridhia
Kwani wakina Messi, mbappe, Rodrigo unajua wana Elimu gani?tatizo la fei toto ni kukosa elimu
Kwani hizo kanuni unazotaka nikasome zimewekwa baada ya uhamisho wa Neymar.... Kama timu kubwa na iliyokua na ushawishi mkubwa FIFA walifeli kumbakiza Neymar sijui kwa Yanga, kama hizo kanuni zimekuja baada ya uhamisho wa Neymar... Halafu kumbe Yanga walishaanza mazungumzo na mchezaji kuhusu maboresho ya mkataba wa mchezaji basi bila shaka hawajaafikiana ndo maana mchezaji kaamua kuununua mkataba na hatimaye kuuvunja sasa apo sijui meza ipi Yanga wanataka wakae ikiwa wamekaa na mchezaji kwaajili ya marekebisho na imeshikana au mimi ndo sijaelewa taarifa yao wailiitoa Yanga.Kasome kanuni za FIFA kwanza kuhusu kuvunja mkataba. Ni kweli mpira ni pesa lakini afuate taratibu zote alizokubali wakati anasaini mkataba wake
Mkuu umekazana na kuvunja tu mkataba.Kasome kanuni za FIFA kwanza kuhusu kuvunja mkataba. Ni kweli mpira ni pesa lakini afuate taratibu zote alizokubali wakati anasaini mkataba wake
Sawa ndio mumpe feisal million nne kama anacheza geita gold kazi yenu dhulma yaani hapo mshampeleka kwa babu ili afeli kama ajibu na gadiel mikoNi ukweli usiopingika kuwa Fei Toto amekuwa moja ya wachezaji muhimu sana Yanga. Na ni ukweli kuwa kijana amekuwa akiipambania Yanga kwa jasho na damu kwa kipindi chote alichokuwa anaichezea timu hii ya Jangwani.
Hakika litakuwa pigo kwa Yanga, lakini kuna msemo unasema "watu uja na kuondoka" na huu ni wakati wa Yanga kuachana na Fei Toto.
Taratibu za kimkataba zinatakiwa kufuatwa kwa pande zote mbili kurudi kwenye misingi ya kimkataba na kupata majadiriano ya pamoja.
Kwenda Azam sports club kwa Fei Toto nadhani ni kurudi nyuma kwake, japo kimaslahi inawezekana ikawa na faida kwa upande wake.
Kipindi hiki Azam imetumia njia moja ama nyingine kuivuruga Yanga nje ya uwanja. Kwa hesabu za Azam ni ukweli uliowazi kuwa wasingiweza kuikuta Yanga. Hiki walichokifanya nyuma ya pazia kwa kumlipa kinyemera Fei hili aweze kuondoka Yanga kinafaa kupigwa vita na wote wanopenda maendeleo ya mpira nchini. Kama walikuwa na nia ya dhati ya kumtaka Fei Toto wangepitia mkataba wake na Yanga na kwenda kuongea na wamiliki halili wa mchezaji na sio kutumia mbinu hii chafu ya kumlaghai mchezaji.
Kwa hakika Azam watakiwa kulaaniwa na kila mwanamichezo kwani wameukosea sana hemshima mpira wa miguu na wameikosea sana Yanga.
Dunia kote mkataba unavunjwa na pande mbili na siyo hiki halichokifanya Fei Toto.
Yanga kiutaratibu wanatakiwa kwenda kisheria, na hii ya kulinganisha mishahara baina ya wachezaji ni ujua wetu sisi. Mshahara unajadiliwa na pande mbili na kama ukikubari ma kusaini haitakiwi kujiringanisha na wengine. Ni mara nyingi sana mnaweza kuwa mnafanya kazi moja na pengine wewe ukawa unafanya kazi kubwa zaidi, lakini mwenzako hakakuzidi mshahara. Angalia mfano wa wafanyakazi wa kampuni, lengo la kampuni yoyote ni kupata kingi, wakati matumizi yakiwa kidogo. Yanga haina kosa kumlipa Fei Toto kiwango hicho, kwani yeye mwenyewe alikiridhia na kusaini.
Wachezaji wetu wanatakiwa kujifunza katika ku bargain vipengele vya mikataba na siyo kutia huruma kuwa mimi nalipwa kidogo kulingana na kazi nayofanya.
Azam waache hujuma za nje ya uwanja, wapambane ndani ya uwanja.
Kila la kheri Fei Toto, lakini tekeleza matakwa ya mkataba wako na Yanga, kama kuna timu inakuhitaji inatakiwa kukaa chini na Yanga na kuzungumza na si huu uhuni wa miaka ya 90.
Wewe mkataba wake umeuona wapi au wewe ni msemaji wa Yanga,tuliza boli mkuuHakuna ambaye hanamzuia kwenda Azam, kikubwa ni kuheshimu vipengele vya kimkataba basi
Yanga wametoa taarifa rasmi kiongoziWewe mkataba wake umeuona wapi au wewe ni msemaji wa Yanga,tuliza boli mkuu