Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

Sawa ndio mumpe feisal million nne kama anacheza geita gold kazi yenu dhulma yaani hapo mshampeleka kwa babu ili afeli kama ajibu na gadiel miko
With all due respect kiongozi, 4M ni ndogo kwako?
 
Shida yenu ni kuleta unazi kwa vitu ambavyo hata haviitaji ushabiki. So Manula akipata sehemu ya aondoke tuu, bila kifuata utaratibu wa kimkataba?

Mbona mzungu aliondokea zanzibar..uliona nani alimfata fata
 
Hawa unto waters kuna nyakati walifanya haya haya wakati wana unataka sureboy kwa mara ya kwanza.
 
Na hii ni shida kwa wachezaji wengi wa kitanzania, mwisho wanakuwa na wivu na maneno ya kiswahili, ohhoo, napiga kazi mshahara kidogo, wakati wengine mshahara mkubwa. Je wakati unasaini ulikuwa wapi ku bargain hili upate mkubwa?
Ukifanya vizuri si waongezwa, Sasa ukidai kuongezewa unakedwakedwa weeh, mwishowe unapotea. NI KOSA KULAUMU AU KUKUBALI JAMBO TUSILO MA UHAKIKA NALO. HASS KWA VILABU VYA HOVYO KAMA SIMBA NA YANGA.
 
TOENI WALE WASTAAFU WA KISIASA PALE YANGA, WATAIHARIBU YANGA, SIMBA NA HATIMAYE SOKA KIUJUMLA
 
Na huu ndo ukweli.Hata ningekuwa mimi kama nimepata ofa nzuri na maslahi mazuri naondoka jata kama timu ilinitibu UKIMWI
Yaani chai jaba avute M 23 yeye dogo aambulie M 4 tu hii si sawa.Go Feisal Go.
 
... Kwenda Azam sports club kwa Fei Toto nadhani ni kurudi nyuma kwake, japo kimaslahi inawezekana ikawa na faida kwa upande wake.
Kwani kipimo cha kwenda mbele ni nini kwa mchezaji wa soka?
 
"A contract cannot be unilaterally terminated during the course of a season"
Hiyo FIFA regulation inatosha kugundua kwamba Fei na wapambe wake wamechemka.
 
Aende tu...

Na huko mbeleni akitaka kurudi Yanga, ni uamuzi wake arudi pia...

Kimaslahi atakuwa kapiga hatua mbele, kimafanikio ya soka kaenda kuanza upya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…