Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 238
- 272
Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu
Jana kaliheshimisha Taifa
Jana kaliheshimisha Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa yupo katika kiwango boraMikia na mchezaji wenu huyo,. Mnatembelea rim sana. Sema alivyoibeba pia timu yake kwenda hatua inayofuata...!
Actually Hakuna aliesema Fei Toto ni mbovu. Akili zake tu. Kumtuma mtu mzima kwenye media akaseme ugali na sukari il-hali unalipwa mshahara wa milioni 4 utatembelea gari la milioni 40+halafu ule ugali na sukari?. Upende mwenyewe.
Pamoja na uzuri,lakini nae ni mchezaji yuko uwanjani kama wengine kuna uwezekano wa kubahatisha akakutana na mpira ulio kwenye target nzuri ya kufunga.
Wapo wachezaji iwe jua iwe mvua atahangaikia timu ipate matokeo ivuke hatua fulani. (Yeye hawezi kuwa miongoni mwa wachezaji wa aina hiyo. Anacheza kawaida tu)
HeheSukari + ugali = Chuki