Fei Toto: Nilifanyiwa hujuma kwakua sijui kiingereza

Wakipekee

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
6,194
Reaction score
10,711
𝗗𝗒𝗑𝗗𝗒𝗒 𝗭𝗔 π—™π—˜π—œπ—¦π—”π—Ÿ 𝗣𝗒π—ͺπ—˜π—₯ 𝗕π—₯π—˜π—”π—žπ—™π—”π—¦π—§ π—–π—Ÿπ—’π—¨π——π—¦

-Nilikuja bara na timu yangu ya JKU kwenye mashindano ya kagame cup na ndipo Yanga na Simba waliniona,Ila timu ya kwanza kunitaka walikuwa Simba ambao walinipa ofa ya 25m ila Mimi nilikuwa nataka 60m na Haji manara ndio alinipeleka kwa Viongozi wa Simba Ila tukashindwana.

Niliamua kwenda Yanga kwasababu ya mapenzi yangu tu, kwasababu nilitamani kucheza Yanga licha ya kipato kidogo ambacho walinipa Yanga kipindi kile.

Na Ugali na sukari nilikuwa nakula kipindi cha Uongozi ule uliopita siyo huu wa sasa.

-Unajua Mimi kingereza sijui ndio maana unaona yote aya, Kwasababu mkataba ambao nilisaini ulikuwa umeandikwa kingereza mtupu,na mkataba ulikuwa wa miaka 3 na Mimi nilijua nasaini mkataba wa miaka 2 Kama tulivyokubalina mdomoni,Kwenye mkataba huu tulikubaliana ada ya usajili 100m.Lakini huwezi kuamini sikupewa pesa yote walinipa 10m mwanzoni,,baadae wakaja wakanipa 20m,Nailiobaki ilikuwa mbinde kulipana.

-Rais Eng Hersi Said Mimi ndio naugomvi nae kwasababu ilifika kipindi alikuwa hataki kupokea simu zangu,Nikipokuwa nataka pesa yangu nimaliziwe ilifikia hadi wakati hata simu za mama yangu na baba yang hawakutaka kuwapokelea ndipo nikaongea na mwanasheria wangu kuhusu tatizo hili,Na mwanasheria wangu akasema mkataba ambao nilikuwa nimesaini Yanga waliniambia watanilipa pesa yangu kwa mafungu ndani ya mwaka mmoja.

-Mimi wazazi wangu wote ni Yanga ndio maana hata nilipochagua kucheza Yanga bado mama yangu alinambia nivumilie ipo siku nitakuwa sawa kifedha ndio maana nilisaini kwa dau sana kipindi nakuja Yanga sc.Naomba msaada kwa Watanzania wenzangu ili niende CAS kuipambania haki yangu na hata Kama nitashindwa kesi moyo wangu haupo tayari kurudi Yanga SC.

"Hata Leo akiondoka Hersi ninarudi sasa hivi Yanga SC, pia Ghalib kaniudhi alikua hashiki simu zangu kabla, Amenitafuta baada ya kuondoka na mimi sikupokea kwasababu sipendi dharau hata kama sina kitu"

"Wakati natafuta suluhusho nilimtafuta Ghalib akawa hapokei baada ya kugoma akanitafuta sikumpokelea simu na, Mimi ni maskini lakini hata kama una pesa sitaki dharau"

"Nilijua nasain mkataba wa miaka miwili na Yanga SC kumbe nimewekewa miaka mitatu, Mimi kingereza sijui nimeongezewa kwa hujuma"

Feisal Salum "FeiToto" via Clouds FM

NB: Tujifunzeni English jamani [emoji23]hata 2 na 3 kwa kingereza hajui jamani[emoji119]
IMG_20230601_125809.jpg
 
NB: Tujifunzeni English jamani [emoji23]hata 2 na 3 kwa kingereza hajui jamani[emoji119]View attachment 2642383
Feisal katumwa kuuangusha Uongozi wa Yanga, hamtaki Hersi hamtaki Ghalib. Yanga itisheni Uchaguzi mara moja muwafute kazi Hersi na Ghalib ili Feisal arudi.
 
Kazi ipo, kwani kuna nini kinaendelea nchini..?? maana mambo yamekuwa mengi ghafla sana...
mnataka tusahau ama kupotezea jambo gani..???
 
mwanangu soma aaah mi sitaki utajua tu mbeleni umuhimu wa ELIMU mbeleni *****
 
Kazi ipo, kwani kuna nini kinaendelea nchini..?? maana mambo yamekuwa mengi ghafla sana...
mnataka tusahau ama kupotezea jambo gani..???
Inawezekana kweli tunapigwa na kitu kizito sisi tumekalia "feitoto feitoto"
 
Dogo kazingua sana. Yani anasaini mkataba ambao hajui terms zake ni zipi?

Kungekuwa na kipengele cha kuwa akawe houseboy wa Hersi angeweza kukataa?
 
Huyo mwanasheria wake alikua wapi kipindi anasaini mkataba

Pumbavu
 
Kuna taasis nyingi tu zinajulikana husainisha watu mikataba halafu wananyofoa hiki na kuweka vitu tofauti kabisa.

Mfano ni hizi microfinance na hata National Insurance Cooperation (NIC) labda kama wameacha siku hizi.

Issue wala siyo elimu ya mtu bali uhuni wa hizo taasis
 
Huondoki na genuine copy unapo sign mkataba ndugu?
 
Mbowe Freeman and chairman chadema party

Akiwambia kiingereza nimuhimu mno kwawatanzania kujua au kufahamu hua mnabisha
 
Mkiambiwa mshike sana elimu mnajifanya wajuaji!! Haya sasa!!

Ilaaa, hata ilipotangazwa haukelewa bado?
 
Kuna taasis nyingi tu zinajulikana husainisha watu mikataba halafu wananyofoa hiki na kuweka vitu tofauti kabisa.

Mfano ni hizi microfinance na hata National Insurance Cooperation (NIC) labda kama wameacha siku hizi.

Issue wala siyo elimu ya mtu bali uhuni wa hizo taasis
Mkataba si unapewa copy?
 
Aisee aibu nimeona mim walahi ...

Fei anasema hadaharan hajui kiingereza hata kwa rasi Simba hapajui kweli [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom