Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe kwani ni shabiki wa azam fc kama mimi?Kama ni kweli itakuwa habari njema sana kwangu
Mbona alipata zaidi ya 200?Shaffi dauda tangia apate kura sifuri za UNEC amepagawa na kuanza kuzusha mambo.
Huku unakata roho mkuu,Pole sanaIlianza km utani utani vile na sasa ni dhahili.Azam wakiamua hakuna wa kuwazuia si Simba wala Yanga. Waliwahi fanya hivyo kwa Ngasa na sasa wamefanya kwa Fei.
Asante sana Fei kwa maamuzi yako hakika utawaamsha wenzako waliolala kwenye usingizi wa fofofo wakimezwa na sifa za Simba na Yanga. Samata alikimbia utumwa wa Simba na Yanga na sasa ni tajiri, muhimu ni unga wa familia yako. All the best wish to see you in mwananchi jersey one day.[emoji122][emoji122][emoji122]
Kisha changanyikiwa huyooo!
Na mimi nahamia Manchester City
Huyo Gomez mtamlipa 5m , kulikuwa na ubaya gani kupandisha tu mshahara wa Feitoto uhakisi kazi anayoifanya, au kwa kuwa ni Mtanzania mwenzetu asistahili kulipwa vizuri?Let him go, we shall find more suitable replacement. Just my advise to Yanga mgt, go for Gomez, that guy is phenomenal achana na huyo mzamzibari ametutumikia muda mrefu, wishing him the best. Allow him to move on.
biashara nzuri