Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Yanga wamefanya makosa kumuacha aende kwa kutokubali kumuongezea pesa yake

Value ya Feisal pale Yanga ni kubwa sana lakini kitendo cha kutompambania kumuongezea mshahara wake ni kosa ambalo mtakuja kujirekebisha kwa wachezaji wengine
Jose Luis, Chama mbona mliwaruhusu waende? nyie ndio baadae hua mnakuja kusema Yanga inaua ndoto za wachezaji wakitakiwa na timu inawang'ang'ania na kama ni rahisi unavyo sema Manzoki huyo hapo kamchukueni
 
Aja ujinga wa kukariri vitu. Unamzungumzia Bocco yupi? Bocco hakuwa kwenye kiwango Azam? Kama hakuwa na kiwango Simba wangemchukua na kuwaletea ubingwa? Punguza mapepe
 
Huyu Shaffih alishawahi confirm kwamba Mayele kamalizana na Kaizer Chiefs kama una kumbukumbu nzuri.

Si chochotewala si lolote kwenye haya maswala
Mwenzenu anafanya biashara hapo nyie hamjui tu. Ipo hv mchezaji akitaka kuongezewa dau nono lazima amcheki shafii. Shafii anapost kitu kama hiki uongozi onastuka. Lkn kitambo shafii anakuwa alishakula commission yake kutoka kwa mchezaji poleni sana vijana Dar es Salaam watu wanalimia kichwa sio jembe.
 
Jose Luis, Chama mbona mliwaruhusu waende? nyie ndio baadae hua mnakuja kusema Yanga inaua ndoto za wachezaji wakitakiwa na timu inawang'ang'ania na kama ni rahisi unavyo sema Manzoki huyo hapo kamchukueni
Ishu sio kumuacha ishu umempa value gani hapo kwako kutokana na kile anachoku offer uwanjani

Ni kweli Feisal ana worth 4M ukilinganisha na mchango wake kwenye timu anaotoa?

Luis alikuwa anapokea pesa ndefu na pamoja na hilo ilikuwa ni ngumu Simba kuweza kuendelea kubaki naye kulingana na offer waliyokuja nayo Al Ahly

Luis kauzwa zaidi ya Bilion na alipofika kule alilipwa mamilion ya pesa

Sasa nyie Feisal mmempa mkataba wa 100M na mshahara wa 4M halafu mnataka tuwaone mko serious. Mko setious kweli?
 
Maelezo yako ya ambatane na attachments za salary slip , bank statements, any reliable source au mkataba vinginevyo hizo ni porojo za kijiweni
 
Hakuna timu ambayo inaua viwango vya wachezaji kama Azam fc! Timu ina kila kitu!

Viwanja vya mazoezi, gym, mabwawa ya kuogelea, nk lakimi ukiwakuta wachezaji karibia wote wana vitambi! Ni suala tu la muda, yule SOPU aliyetoka Coastal, atakuwa ni historia.

Kama Fei Toto ana akili, bora akaendelea tu kubakia kwenye klabu yake aliyo izoea. Na kama ni suala la maslahi, hilo ni jambo linalo zungumzika. Maana mchango wake kwenye timu unaonekana.

Na kama anataka kubadilisha mazingira, basi atafute timu za nje akacheze. Aache kufuata nyendo za wenzake kama Gadiel Michael na Ibrahim Ajib! Tangu waondoke Yanga kwa kisingizio cha maslahi, wanahangaika tu huko waliko.
 
Unaanza kuita watu wajinga kwa habari za kusikia, uoni kama hapo wewe ni mjinga maradufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…