Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Case kama hii haina tofauti na Yahya Abbas huo ni mfano yupo yupo tu.
 
Ukinionesha transction ya Bil 1 kwa MIQUISSONE kutoka Al Ahly, nakuweke muda huu LAKI 5 kwenye SIMU yako.
 
Acha uongo bana, hakuna kipindi chochote ambacho Kibudenga aliwahi kuwa bora kumzidi Mayele. Hakipo!
 
Kaongezee mtoe bus lenu garage
Vyombo vya moto navyo vinahitaji kupewa muda wa kupumzika

Usifikiri kwasababu ni machine basi muda wote we ni kuitumia tu ndo mwisho wa siku muanze kutoa lawama kuwa wazungu wanatengeneza vitu feki jumbe ni we mwenyewe matumizi yako yalikuwa rough
 
Let's say Feisal kaenda Azam FC nyinyi mnanufaika vipi? maana naona hili swala limekua lenu
Nani kakuambia swala la Feisal tunalijadili kwasababu linatunufaisha?

Swala la Feisal tunalijadili kwasababu moja kwa moja ni habari inayogusa michezo (TETESI ZA USAJILI) na ndio maana ipo katika jukwaa hili
 
Huyo ni chiz.i, msamehe bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…