Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Fei Toto to Azam deal done? Shaffih Dauda kaandika RASMI dili limekamilika

Weka attachment hapa tuone huo mkataba
Ona hata picha basi
Screenshot_20221224-131802.jpg
 
Negotiation power anaweza akawa nayo ila kuna muda haiwezi kuwa na nguvu kama hana backup inayo msapoti endapo wasipofika makubaliano

Mfano akasema wamlipe milion 10 na kabla alikuww analipwa milion 5, halafu akasimama kwenye msimamo wake huo huo

Then Yanga wakasema hatuwezi kukuoa kiasi hicho na tupo tayari kuachana na wewe

Sasa je akitoka hapo huyo Feisal anaweza akachululiwa na Club gani ambayo itamlipa hiyo pesa?

Saizi amekuwa gumzo kwasababu tayari Azam wameonesha nia ya kutoa pesa hiyo na dau la mshahara wake limeonekana. Lakini isingekuwa Azam maana yake huyo alikuwa hana option ya kukataa 4M kwasbabu hana pakwenda
Case kama hii haina tofauti na Yahya Abbas huo ni mfano yupo yupo tu.
 
Ishu sio kumuacha ishu umempa value gani hapo kwako kutokana na kile anachoku offer uwanjani

Ni kweli Feisal ana worth 4M ukilinganisha na mchango wake kwenye timu anaotoa?

Luis alikuwa anapokea pesa ndefu na pamoja na hilo ilikuwa ni ngumu Simba kuweza kuendelea kubaki naye kulingana na offer waliyokuja nayo Al Ahly

Luis kauzwa zaidi ya Bilion na alipofika kule alilipwa mamilion ya pesa

Sasa nyie Feisal mmempa mkataba wa 100M na mshahara wa 4M halafu mnataka tuwaone mko serious. Mko setious kweli?
Ukinionesha transction ya Bil 1 kwa MIQUISSONE kutoka Al Ahly, nakuweke muda huu LAKI 5 kwenye SIMU yako.
 
Bora kulinganisha na nani?

Sisi tumekuwa tukisema Feisal sio bora ukimlinganisha na Chama kama ambavyo nyinyi mmekuwa mkitaka.

Ni kweli Feisal hana ubora kumzidi Chama, ila kwa pale Yanga, Feisal ni bora kuliko Azizi Ki (ambaye nahakika atakuwa anachukua pesa ndefu kumzidi hata Mayele)

Ishu ya Mayele na Kibu ilikuwa inazungumzia statistics za kipindi hicho na ni kweli Kibu alikuwa bora kuliko Mayele but now he's broke
Acha uongo bana, hakuna kipindi chochote ambacho Kibudenga aliwahi kuwa bora kumzidi Mayele. Hakipo!
 
Kaongezee mtoe bus lenu garage
Vyombo vya moto navyo vinahitaji kupewa muda wa kupumzika

Usifikiri kwasababu ni machine basi muda wote we ni kuitumia tu ndo mwisho wa siku muanze kutoa lawama kuwa wazungu wanatengeneza vitu feki jumbe ni we mwenyewe matumizi yako yalikuwa rough
 
Let's say Feisal kaenda Azam FC nyinyi mnanufaika vipi? maana naona hili swala limekua lenu
Nani kakuambia swala la Feisal tunalijadili kwasababu linatunufaisha?

Swala la Feisal tunalijadili kwasababu moja kwa moja ni habari inayogusa michezo (TETESI ZA USAJILI) na ndio maana ipo katika jukwaa hili
 
Ndiyo maana mkaitwa mikia, Bocco alipoenda Azam kiwango chake kilipanda? Ukiwa huna wachezaji sawa na wewe wa kushindana nao, kwenye timu kupata namba, unajikuta kiwango chako kinashuka tu.
Akiwa Yanga anajua lazima aonyeshe kitu kupata namba lah bench litamuhusu.
Azam anaenda kuwa ndiyo star wao, ajibidishe, asijibidishe ana namba yake tayari.
Huyo ni chiz.i, msamehe bure.
 
Back
Top Bottom