Mkuu, kama amesaini Simba ndio haruhusiwi kujiunga na Timu nyingine au una maana gani?Zimbwe junia. Amesha saini simba. Labda totolii.
Kuna watu walikuwa wanamponda sana zimbwe na mwili wake vipi Tp mazembe hawajaona ilo...
Man U wapo Dar wanatafuta saini yakeKagere vepee?
Zimbwe junia. Amesha saini simba. Labda totolii.
Mbappe ndio nani wa PSG, mchezaji yoyote akianza kuitwa jina sio lake ataishia njiani kama ya kina Singano sijui Messi au Canavaro. tumia jina lako usikubali kuitwa majina ya watu hata huko ulaya ukisikia huyu new Messi basi hana muda atapotea.mbappe he is ovvarrated
800M za Bwalya imedhindikana itakuwa huyo bilioni kadhaa!Simba tumeanza kuifukuzia saini ya Khama Billiat.
Zimbwe alikataa kusaini mpaka AFcon iisheZimbwe junia. Amesha saini simba. Labda totolii.
Mambo yameanza kueleweka kwa upande wetu wana msimbazi, pesa tunayo wewe, KHAMA BILLIAT ndani ya TPL msimu ujao.800M za Bwalya imedhindikana itakuwa huyo bilioni kadhaa!
Huyo mmbape atauzwa kutoka club gani? Au kama tom ulimwengu?
Kwahiyo hapa tunadiscus kuhusu golf sio?Duh! Mkuu unafwatliia mpira kweli?