Fei Toto, Tshabalala na Mbappe hao Mazembe

Fei Toto, Tshabalala na Mbappe hao Mazembe

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
# Kama tetesi hizi ni za ukweli basi nawaomba viongozi wa Simba na Yanga msiwabanie hao madogo.
 

Attachments

  • Screenshot_20190622-111404.jpg
    Screenshot_20190622-111404.jpg
    55 KB · Views: 37
Huyo mmbape atauzwa kutoka club gani? Au kama tom ulimwengu?
 
Simba tumeanza kuifukuzia saini ya Khama Billiat.
 
mbappe he is ovvarrated
Mbappe ndio nani wa PSG, mchezaji yoyote akianza kuitwa jina sio lake ataishia njiani kama ya kina Singano sijui Messi au Canavaro. tumia jina lako usikubali kuitwa majina ya watu hata huko ulaya ukisikia huyu new Messi basi hana muda atapotea.
 
Back
Top Bottom