Feisal alisahau Baba na mama wake wako uwanjani

Wala sikuangalia mechi, ila nimegundua baada ya kuona waliokerwa wote ni mashabiki wa utopolo, na hata humu wao ndio wanaomuanzishia nyuzi
Ujuwe kuna walioanzisha uzi na wala hawakwenda uwanjani..!!
 
Mwaka huu mtateseka sana. Lakini poleni mtani
Mnateseka nyie kuliko sisi..yani mateso yenu makubwa ni pale unasubiria shabiki wa Simba ajinyonge au atembee uchi...mnashangaa tunazidi kushinee...tunapendeza tunawakaaa...hahahahaa
 
Mbona yule roporopo wenu aliwaita Simba my wake huku akijua kuwa Baba yake mzazi ni Simba lialia? Wacheni nongwa na huyo dogo jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…