Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kuna watu wanatamani apotee kwa maamuzi haya.Kama aliingia mkataba wa namna hiyo basi inatosha kusema fei na timu yake walikuwa timamu...
Ni ushamba tu ila fei hajakosea kwa mustakabali wa maisha yake.Kuna watu wanatamani apotee kwa maamuzi haya.
Subiri aumweKama aliingia mkataba wa namna hiyo basi inatosha kusema Fei na timu yake walikuwa timamu.
Mpira ni mchezo wa muda mfupi lazima upige pesa vizuri, sio uzalendo uzalendo unakufa njaa, ukistaafu ni mwendo wa bakuli hata kama utaumwa ugonjwa wa laki.
Mkuu yani unaishi ili kusubiri tu fulani aumwe?Subiri aumwe
Huo mkataba mmeuona wapi na kukiona hiko kipengele? Wekeni hiko kifungu hapa au source ya taarifa ni kiongozi yupi wa Azam fc?
Kabisa mkuuNi ushamba tu ila fei hajakosea kwa mustakabali wa maisha yake.
Kina totti, Gerrard, raul sio kwamba walikuwa loyal kwa timu zao kama sisi huku kina ngasa, hapana na mpunga mzuri walikuwa wanapata.
Kwanini usubiri aumwe? Kwanini usisubiri achukue vikombe?Subiri aumwe
Hilo ni lakweli kabisa hala wana nzengo ndio wakwanza kumlaumu ya kuwa kachezea maisha yake wakati wa mikataba. Mungu ambariki asonge vyema ktk utendaji wake.Kama aliingia mkataba wa namna hiyo basi inatosha kusema Fei na timu yake walikuwa timamu.
Mpira ni mchezo wa muda mfupi lazima upige pesa vizuri, sio uzalendo uzalendo unakufa njaa, ukistaafu ni mwendo wa bakuli hata kama utaumwa ugonjwa wa laki.
Source: Trust me Bro😄Huo mkataba mmeuona wapi na kukiona hiko kipengele? Wekeni hiko kifungu hapa au source ya taarifa ni kiongozi yupi wa Azam fc?
Usisahau kumshauri kununua viroba vya kutosha vya sukari na unga wa dona/sembe (kwa ajili ya kile kitoweo chake pendwa cha ugali + sukari), ili ikitokea siku akashawishiwa kuhamia timu nyingine; basi akose kisingizio.Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90.
kwahiyo tuseme Feisal katika miaka yote mitatu ya kimkataba atalamba milioni 270 kama atafikisha magoli hayo 10,ambapo kwa sasa amesalia na misimu miwili kwahiyo akifikisha magoli 10 ataondoka na milioni 180.
Vile vilabu vinavyomtaka Feisal hapo vipi wataweza kweli au waache tu watafute wachezaji wengine?View attachment 3008962
Hujanielewa Yani ikitokea amepata injury utashangaa bakuli linatembezwa wakati habari za kuvuna kama hiviKwanini usubiri aumwe? Kwanini usisubiri achukue vikombe?
Ok, ila mkuu tukumbuke ukishakuwa hospitali inamaana huna uwezo wa kufanya kazi na hapo hapo unatakiwa ulipe bili za hospitali.Hujanielewa Yani ikitokea amepata injury utashangaa bakuli linatembezwa wakati habari za kuvuna kama hivi