Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

Feisal amevuta milioni 90 kutoka kwenye klabu yake ya Azam baada ya kufunga magoli 19 ya ligi kuu

Hujanielewa Yani ikitokea amepata injury utashangaa bakuli linatembezwa wakati habari za kuvuna kama hivi
Ana bima, akiumia atatibiwa na kulipwa mshahara na malupulupu yake mengine na bima.
Vitu vyote hivyo aliomba apate kwa timu yake ya mwanzo lakini walimkatalia kwakuwa ni mzawa.
 
Mashabiki wajinga wa yanga wamzomee na hapa basi. Pale ambapo KAPUKU shabiki wa yanga anapomzomea FEI aliyeweka 90milioni kwenye akaunti kufunga tu magoli.
 
Back
Top Bottom