je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Ile video Ina masaaa matatu nimejaribu kuisikiliza kwa muda nilio bahatika.
Kwanza feisal anaonekana sio mzungumzaji mzuri lakini ana hoja ambazo zingefanya mkataba wake kuwa invalid siku nyingi tu na tff Wanalijua hili ila tu Wana ziba ziba mambo.
Kumtuhumu mtu kuwa anauza mechi tu hii ingetosha kuvunja mkataba
Huu ni ukosefu WA shukran kwa fei kwasababu amechezea timu ikiwa na shida kipindi wanapitisha bakuli na huyo manara anae msema fei vibaya alikuwa Simba anasafiri na timu Kila nchi na kupata deals kibao za matangazo hadi kujiita mzee wa kukera.
Huyo eng hersi kipindi hicho alikuwa zake Somalia huko sijui wapi kwa huyu bwana ana fani hapa mjini zaidi ya kutengenezewa mazingira ya kuingia yanga kimchongo
Huyu aliepewa macho matatu ndio alikuwa akiandika mambo 10 na kuichabanga yanga
Eti Leo hii hawana hata mwaka yanga wao ndio wamekuwa yanga Lia Lia kushinda fei ???
Hawa wakuja yanga kwa sababu ya maslah eti ndio WA kumponda feisal.
Dogo kafanyiwa uhuni kafanyiwa umafia WA hali ya juu .hapa tunapo ongea ilitakiwa huyo eng hersi awe segerea pale kwa kughushi mkataba WA miaka miwili na yeye kutoa mkataba WA miaka mitatu.
Alafu kingine Kwan kuvunja mkataba Kuna ajabu gani??? Mkataba huo una Nini Cha kuachwa kuto kuvunjwa????
Kwani fei ni mchezaji pekee ?? Mbona wachezaji kibao tu Kila mkoa .kwanza yanga sote tunajua shinda Yao inapitia mambo mengi hadi kulifikia goli
Yanga acheni roho kubwa ,roho nyeusi ,muachien fei aondoke akatafute malisho sehemu nyingine mana kashawakataaaa
Kwanza mnaona kumpa mzawa Hela tu kidogo mnaona atafaidika ila kuwapa wageni ndio fahari kwenu