Feisal ana hoja zake asikilizwe, tusizibe masikio

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Ile video Ina masaaa matatu nimejaribu kuisikiliza kwa muda nilio bahatika.

Kwanza feisal anaonekana sio mzungumzaji mzuri lakini ana hoja ambazo zingefanya mkataba wake kuwa invalid siku nyingi tu na tff Wanalijua hili ila tu Wana ziba ziba mambo.

Kumtuhumu mtu kuwa anauza mechi tu hii ingetosha kuvunja mkataba

Huu ni ukosefu WA shukran kwa fei kwasababu amechezea timu ikiwa na shida kipindi wanapitisha bakuli na huyo manara anae msema fei vibaya alikuwa Simba anasafiri na timu Kila nchi na kupata deals kibao za matangazo hadi kujiita mzee wa kukera.

Huyo eng hersi kipindi hicho alikuwa zake Somalia huko sijui wapi kwa huyu bwana ana fani hapa mjini zaidi ya kutengenezewa mazingira ya kuingia yanga kimchongo

Huyu aliepewa macho matatu ndio alikuwa akiandika mambo 10 na kuichabanga yanga

Eti Leo hii hawana hata mwaka yanga wao ndio wamekuwa yanga Lia Lia kushinda fei ???

Hawa wakuja yanga kwa sababu ya maslah eti ndio WA kumponda feisal.

Dogo kafanyiwa uhuni kafanyiwa umafia WA hali ya juu .hapa tunapo ongea ilitakiwa huyo eng hersi awe segerea pale kwa kughushi mkataba WA miaka miwili na yeye kutoa mkataba WA miaka mitatu.

Alafu kingine Kwan kuvunja mkataba Kuna ajabu gani??? Mkataba huo una Nini Cha kuachwa kuto kuvunjwa????

Kwani fei ni mchezaji pekee ?? Mbona wachezaji kibao tu Kila mkoa .kwanza yanga sote tunajua shinda Yao inapitia mambo mengi hadi kulifikia goli

Yanga acheni roho kubwa ,roho nyeusi ,muachien fei aondoke akatafute malisho sehemu nyingine mana kashawakataaaa

Kwanza mnaona kumpa mzawa Hela tu kidogo mnaona atafaidika ila kuwapa wageni ndio fahari kwenu
 
Toa mchango wako kwa Fei, mpeleke malalamiko yenu CAS...huku kujiliza na kujitiisha Huruma hakusaidii...

Hivyo tu..[emoji16]
 
Sababu zipi hizo!? Hizo zilizotupwa na TFF au za Jana zilizopokelewa pale Clouds FM!?

Wajanja badala ya kumpeleka CAS wakampeleka Clouds...
Kweli wajinga ndio waliwao[emoji1787][emoji1787]
@WAKO WAPI WATU WAKO uliamsikiliza fei ????
Kadanganya wapi.???

Au ww ndio hawara WA fei
 
Kwa hili la Fei Toto inadhihirisha jinsi gani Watanzania wengi ni wanafiki na Wana Chuki.Mtanzania akikwambia anakupenda na kukubali jiulize mara Mbili.Hivi kweli Leo hii Watanzania wa kushindwa kupaza sauti Feisal Asaidiwe??? Leo hii mashabiki wa Yanga na wapenda soka hawaongei ukweli kuhusu inshu ya Feisal....
Ni Halali Kwa Feisal kutotaka kurudi Yanga,mashabiki wa Yanga pia mnaonekana hamna huruma na mchezaji wetu wa Kitanzania.Hivi Leo hii kama mashabiki mngeshinikiza uongozi wa Yanga wamuachie Feisal awe Huru Tena kwa kelele za Juu kwenda Kwa uongozi,uongozi wa Yanga si ungemuachia????
Sisi kama wapenda soka wote tuuungane kuokoa kipaji Cha Mtanzania mwenzetu...Hiki kinachoendelea na kinachofanywa na club Kubwa ya yanga sio kitendo Cha kiungwana Kwa kweli.
Ama kweli Shukrani ya Punda ni Mateke,Feisal wa kupata mateso hivi,Watanzania tuache Unafiki tusimame pamoja na Feisal...
 
Ukisimama weye inatosha,, site tuache na Unafiki wetu...
 
Watanzania mmezoea kufanya mambo ya business as usual sijui hakuna shukrani, sijui huruma. Hapa ni mkataba na hatua za kuvunja mkataba zinasemaje. Hakuna cha sijui shukrani sijui huruma. Mchangieni aende CAS au atumue ile 100 mls kwenda huko si anahisi kaonewa na ana uhakika atashinda, basi afanye hivyo.
 
@WAKO WAPI WATU WAKO uliamsikiliza fei ????
Kadanganya wapi.???

Au ww ndio hawara WA fei
TFF walimsikiliza na kutoa maamuzi,, na nyie Clouds mmemsikiliza msaidieni aende CAS...mama Ake katukanwa na Eng. Hers sijui kamfanyaje...hizo ndio hoja zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

huku TANZANIA case imeshasikilizwa na imekwishwa....mambo ya kutia Huruma hakuna ni Sheria na Kanuni tu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom