watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa Feisal ofa ya mshahara wa takribani milioni milioni 80 na signing fee mara 10 zaidi.
🔹 Mkataba wa sasa unaisha tarehe 8 Juni 2026.
🔹 Azam wameweka mezani ofa ya kuongeza miaka 2 zaidi – hadi 8 Juni 2028.
🔹 Signing on fee? 💰 TSh 805,254,286!
🔹 Malipo ya signing fee yatafanyika kwa awamu mbili.
🔹 Mshahara mpya? 💸 TSh 79,092,064 kwa mwezi.
🔹 Nyumba ya kisasa, full furnished – ipo ndani ya package! 🏠
🔹 Tiketi 4 vip za boti kwa msimu – Dar ↔ Zanzibar 🛳️
⚠️ Kama kuna timu inamtaka Feisal, itabidi ije mezani na mzigo mzito!
📌 Release clause ya mkataba wake imewekwa kwa dola milioni 3 – hiyo ni takribani TSh bilioni 8! 💣💼
📝 Hadi sasa, Feisal hajatia saini mkataba huu mpya.