watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
Mmh garasa kisa nnMhh mbona mwishowe kwa dana dana hizi atakua garasa...
Safi tu Ila Afande usajili wa watu kazi amuongezee Dogo moraliAzam kaamua kuwaonyesha watani wa jadi jeuri ya pesa, kama kila timu ligi kuu anazilipa milioni 50 kia mwezi kwake sio tabu kabisa kumpa Feisal mshahara wa milioni 80
πΉ Mkataba wa sasa unaisha tarehe 8 Juni 2026.
πΉ Azam wameweka mezani ofa ya kuongeza miaka 2 zaidi β hadi 8 Juni 2028.
πΉ Signing on fee? π° TSh 805,254,286!
πΉ Mshahara mpya? πΈ TSh 79,092,064 kwa mwezi.
πΉ Nyumba ya kisasa, full furnished β ipo ndani ya package! π
πΉ Tiketi 4 vip za boti kwa msimu β Dar β Zanzibar π³οΈ
πΉ Kipengele cha kuachwa (release clause) kipo: $3 million πΌπ£
π Hadi sasa, Feisal hajatia saini mkataba huu mpya. Amekuwa wazi β anataka kuondoka! π€π₯
Mshahara mpya unaanza 9 Juni 2026, lakini signing fee analipwa mara tu akisaini na kwavile ni kwa awamu mbili, akisaini anaweza kupewa fee nusu na iliyobaki anaweza kupewa mwakani akianza pokea mshahara mpya.So huo mkataba mpya na mshahara mpya utaanza hadi mwakani 08 June 2026? Hivyo akae mwaka mzima kwa mshahara wa sasa?
akikubali kusaini tu kurefusha mkataba wake anapewa kibunda na kuongezewa mshahara
Mshahara mpya unaanza 9 Juni 2026, lakini signing fee analipwa mara tu akisaini na kwavile ni kwa awamu mbili, akisaini anaweza kupewa fee nusu na iliyobaki anaweza kupewa mwakani akianza pokea mshahara mpya.Jibu swali vizuri, akisaini mkataba mpya sasa hivi, ataanza mshahara mpya hapo hapo au atasubiri mkataba wa zamani uishe hadi 08 June, 2026?
πππ muhindi kulipa huu mshahara anaona anachoma pesa motokwa pesa hiyo tajiri wetu mud anavyo ijua pesa itoshe kusema swala fei kuja simba limekufa mazima
Wanamkuza tu huyo dogo hamna lolote
Wanamkuza tu huyo dogo hamna lolote
kama hana lolote hakuna haja kwa Simba kumfatilia, wapo wachezaji wengi tu Coastal, Prisons, Tabora, Singida, n.k.Kweli, hana mpira kivile