Endelea kukaa hapo hapo.....mpaka 2024 mkataba utakapotamatikaWakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!
Wakuu,

Ukishiba kande ukalale.Wakuu,

Hivi mnaposema kuongea na waajiri wake manaanisha nini ?Feisal ata aende CAS atarudishwa mlango uleule aliotokea , yaani Dar Young Africa.
Lazima atarudishwa aongee na waajiri wake Ili aweze Kuvunja mkataba.
Hivi unafatiliaga habari za michezo kweli ? Mbona ukisemacho akipo kabisa au nani kakudanganya wakati fei bado kesi inamwendea vibaya ajui hatma yakeWakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!
Ukisema kuongea na waajiri wake unamaanisha kuripoti kambini ambapo hataki kuwepo au unamaanisha kupeleka barua ya kuomba kupewa taratibu za kuvunja mkataba?Feisal ata aende CAS atarudishwa mlango uleule aliotokea , yaani Dar Young Africa.
Lazima atarudishwa aongee na waajiri wake Ili aweze Kuvunja mkataba.
Kama barua mbona alishapeleka hii nchi duhh!!!Ukisema kuongea na waajiri wake unamaanisha kuripoti kambini ambapo hataki kuwepo au unamaanisha kupeleka barua ya kuomba kupewa taratibu za kuvunja mkataba?
Aliandika kwenda TFF. Awaandikie Yanga sasa tuone majibu yao. HahahaKama barua mbona alishapeleka hii nchi duhh!!!
Leo unamsifia fatima karume wakati wa Magufuli ulikuwa ukimtukana na kumuita shoga kweli wewe dishi lipo sawa kweli?Wakuu,
Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]
Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!
Si aliwaandikia ile ya kwanza, wakasema hakufuata taratibu, TFF haikutoa idhini, wameandikiwa TFF ndio wamejibu walichojibuAliandika kwenda TFF. Awaandikie Yanga sasa tuone majibu yao. Hahaha
Kisheria hakuna mkataba usiovunjika nashindwa kuelewa wanasheria wa yanga walisoma vyuo gani. Mkataba usiokuwa na option ya termination ni mkataba batili.Wakuu,