Feisal is smart! Deal with big fish

Feisal is smart! Deal with big fish

Ukishaishiwa hoja laxima ukimbilie comment ya aina hiyo uliyoitoa.
Ngoja nikusaidie, kama nitaweza lakini. Ni hivi, ngetokea Yanga hawamlipi Feisal stahiki zake kwa mujibu wa mkata hapo sawa, huo mkataba ungevunjika. Feisal kashindwa kuthibitisha kuwa Yanga wamekiuka mskybaliano, unataka nini kingine?
Mkataba havunjika kwa sababu eti siku hiyo umeamka unajisikia kuvunja mkataba.
Hakuna mkataba usio vunjika. Soka sio biashara ya utumwa.

Mikataba inavunjika ila masharti ya kuuvunja ndo yanaweza kuwa magumu.

Hata mkataba wa Fei unavunjika ndo maana Yanga wapo tayari ila wanasema taratibu/masharti ndo hayafuatwi na Fei.
 
Yanga mbona hamsemi
Mlimfanya nini Fei hadi hawataki namna hii?

Wengi wanamuangalia fei lakini mimi naiangalia Yanga.
Mfanyakazi wenu fei hawezi from no where aichukie Yanga kiasi hiki wakati alikataa kuja Simba kwa kuipenda Yanga.

Pili kama mchezaji amewachukia kiasi hiki mwacheni aende na mtozeni faini zilizo kwenye Mkataba.
Wenzenu Simba mbona huwa wanawaacha tu wachezaji walio ishiwa mapenzi na timu kama Dejani.

Yanga sio bure kuna shida mahali.
 
Ehhhh 🥱🥱🥱🥱 nimechoka, imeshaelezwa hapo nyuma hiyo unayoisema ni termination with just cause kuna hiyo nyingine without just cause. Muwe mna google kwanza.

[emoji116][emoji116]

If a player terminates his contract with just cause, due to the club’s unilateral decision to truncate or not pay salaries, the player will be in liberty to sign for another club and his former club will be liable to pay him emolument. In such a situation, the club is liable to pay emolument and will also be at the risk of sporting sanctions.

However, if the player terminates his contract without just cause or the club terminates the contract with just cause, the player is liable to pay emolument to the club, and with risk sporting sanctions. There must be a protected period of two or three years (also depending upon the age of the player) for sporting sanctions to be imposed. In reality, the player can be suspended from the football matches whereas the club may be restricted from one or more transfer windows.
 
Hapo kwenye tafsiri ya mawasiliano na Yanga ndo pana shangaza.

1. Sioni madhara yoyote ya Fei kutuma mawakili wake Yanga kwenda kuomba taratibu za kuvunja mkataba.

2. Sioni madhara Yanga ikiweka wazi hizo taratibu kwa maandishi na kumpatia Fei bila hata Fei kurudi Yanga.
Hii hoja namba 2 ni ya muhimu Sana... Sijui Kwa nini Yanga hawataki kuziweka wazi kama ziko zinajulikana....
 
Hakuna mkataba usio vunjika. Soka sio biashara ya utumwa.

Mikataba inavunjika ila masharti ya kuuvunja ndo yanaweza kuwa magumu.

Hata mkataba wa Fei unavunjika ndo maana Yanga wapo tayari ila wanasema taratibu/masharti ndo hayafuatwi na Fei.
Masharti yepi hayo ? Utaratibu upi huo weka tuujue !
 
Nasikia YANGA BADO WANAMLIPA MSHAHARA FEI TOTO?????
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Wakuu,

Feisal anajua hili goma linachezwa wapi na wazito gani! Sasa kamuweka Fatuma [emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hangaikeni nae! Fatuma nae sio Uto kivileee amekaza! Alafu hataki mudhalilishe professional yake kizembe! Sasa goma limekwama kooni, Dogo amekaa pembeni big fish wanachapana [emoji23]

Fatuma kashasema hili goma lake! Hajasoma vichochoroni [emoji23] , kiufupi Uto wana kuwa dragged into complex trap wachekwe! Mtumieni mchezaji mnataka avunje vipi mkataba biashara iishe bila any damage! Otherwise nimekaa paleeee!

Pale unapojiona una akili, kaa pale ndo umekuwa msemo wa wajinga. Na wadada wa mjini wasiokuwa maana kabisa.

Kama mimi na wewe tuna makubaliano ya hata, hakuna wa kuingilia kama nimefanya sehemu yangu ya makubaliano vizuri.
 
Hizi danana za TFF zina mwisho.

Mwanzo Fei alipovunja mkataba, Yanga ilimshtaki kuwa hajafuata uataratibu kwasababu TFF haikutoa idhini, ikiwa TFF lazima ihusishwe kwenye kuvunja mkataba.

Mawakili wa Fei wakadai mkataba ushavunjwa kama amekosea kuvunja apewe haki yake kama kulipa fidia au adhabu.

TFF ikakomaa kuwa mkataba utavunjika tu ikiwa wao watahusishwa na kutoa idhini.

Wakaona isiwe kesi, mawakili wa Fei wakaandika barua kwenda TFF ili kutoa idhini ya kuvunja mkataba.

Matokeo ndio haya ya Sasa [emoji2962][emoji2962]
Yanga club ya viongozi washamba sana na hao wajumbe wao walioko huko TFF.
 
Hii hoja namba 2 ni ya muhimu Sana... Sijui Kwa nini Yanga hawataki kuziweka wazi kama ziko zinajulikana....
Wananasema hajafata taratibu ila hawampi hizo taratibu wanataka aende wazungumze.
 
Masharti yepi hayo ? Utaratibu upi huo weka tuujue !
Inaonekana hayo masharti ni siri nzito sana ambayo hata kwenye maandishi haitakiwi kuwepo bali ni masikio ya Fei tu ndo yanapaswa kuisikia ndani ya ofisi za Yanga hivyo anatakiwa aende.
 
Yanga mbona hamsemi
Mlimfanya nini Fei hadi hawataki namna hii?

Wengi wanamuangalia fei lakini mimi naiangalia Yanga.
Mfanyakazi wenu fei hawezi from no where aichukie Yanga kiasi hiki wakati alikataa kuja Simba kwa kuipenda Yanga.

Pili kama mchezaji amewachukia kiasi hiki mwacheni aende na mtozeni faini zilizo kwenye Mkataba.
Wenzenu Simba mbona huwa wanawaacha tu wachezaji walio ishiwa mapenzi na timu kama Dejani.

Yanga sio bure kuna shida mahali.

Kwani yeye ni mtoto mdogo hawezi kusema ubaya aliofanyiwa na Yanga ikiwezekana hata kwa ushahidi/ uthibitisho?

Ulisikia Yanga wana mng'ang'ania Feisal au Feisal mwenyewe ndio analeta kiburi cha kujifanya mkubwa kuliko Yanga anaamua kwenda TFF badala ya kwenda Yanga ili wakavunje mkataba.

Hao unaowataja kuwa Simba wanawaacha, kwani wanaacha tu kiholela si wanakaa mezani
 
Ehhhh 🥱🥱🥱🥱 nimechoka, imeshaelezwa hapo nyuma hiyo unayoisema ni termination with just cause kuna hiyo nyingine without just cause. Muwe mna google kwanza.

[emoji116][emoji116]

If a player terminates his contract with just cause, due to the club’s unilateral decision to truncate or not pay salaries, the player will be in liberty to sign for another club and his former club will be liable to pay him emolument. In such a situation, the club is liable to pay emolument and will also be at the risk of sporting sanctions.

However, if the player terminates his contract without just cause or the club terminates the contract with just cause, the player is liable to pay emolument to the club, and with risk sporting sanctions. There must be a protected period of two or three years (also depending upon the age of the player) for sporting sanctions to be imposed. In reality, the player can be suspended from the football matches whereas the club may be restricted from one or more transfer windows.
Hapo kwenye a player is liable to pay ni kama club itaridhia, ila dogo hakuwa na nidhamu, badala ya kuwaomba Yanga yeye aliwatangazia kiwa amevunja mkataba. Kwa kuwa Yanga hawakuridhishwa na ujuaji na ubabe anaotaka kuuonyesha dogo, ndiyo maana wao wakagoma kuridhia na hiyo a player is liable to pay inajifia kibudu.
 
Kisheria hakuna mkataba usiovunjika nashindwa kuelewa wanasheria wa yanga walisoma vyuo gani. Mkataba usiokuwa na option ya termination ni mkataba batili.
Tatizo ninyi mnaojifanya wanasheria mashuhuri huwa mnataka mabishano (hata kama mna hoja) bila kuangalia athari na kutozingatia mazingira yaliyopo,tu-assume ndiyo mkataba ni batili sasa ili ije kujulikana kweli ni batili huu muda anaopoteza nani ataufidia?je Yanga ikihukumiwa kwa kumsainisha mkataba batili fidia yake itatosha kulipia pale alipokaa nje ya uwanja tena akiwa tayari kipaji kimeshuka?

Huyu kijana angekuwa anaidai Yanga hela cash (pesa taslimu) mngekuwa na point lakini yeye anadai uhuru wa kwenda kutafuta hela sehemu nyengine kupitia kile kile alichokuwa anakifanya Yanga (kucheza mpira unaohitaji nguvu ya wakati husika) ni kusema Feisal wa wa leo 2023 siyo wa mwaka kesho,akiwa bench kama hivi pale ambapo ange-gain kitu kwenye kipaji chake atakuta tayari muda umemuacha huku vikija vipaji vipya vyenye thamani kuliko yeye so automatically atakuwa hana soko.

Hao viongozi wa Yanga na vitambi vyao wao hawana shida hata wapoteze muda vipi wao wanaishi mjini kwa maneno na ujanja ujanja wa kusoma vifungu vya sheria ili wale ila huyu anategemea akimbizane na umri ili aishi so hawawezi kuwa sawa tumieni hekima za kisheria (kama zipo) mwambieni huyo mtoto akacheze mpira apate hela maisha mengine yaendelee.
 
Hapo kwenye a player is liable to pay ni kama club itaridhia, ila dogo hakuwa na nidhamu, badala ya kuwaomba Yanga yeye aliwatangazia kiwa amevunja mkataba. Kwa kuwa Yanga hawakuridhishwa na ujuaji na ubabe anaotaka kuuonyesha dogo, ndiyo maana wao wakagoma kuridhia na hiyo a player is liable to pay inajifia kibudu.
Yani kama hakuwa na nidhamu basi ndio swala la kuvunja mkataba lilitakiwa liwe jepesi sana kwasababu kuna kila sababu za kuvunja mkataba

Lakini pamoja na nidhamu yake kuwa mbovu you still hold him hamtaki kabisa aende. Why?
 
Msimu huu haya ndio mambo yaliyowapa furaha mashabiki wa Simba
1) Nabi kutosaini mkataba mpya
2) Mgogoro wa Yanga na Sport pesa
3) Mgogoro wa Yanga na Feisal
4) Morrison kutoonekana uwanjani
5):kuifunga Yanga
6) Kuishia robo fainali klabu bingwa
7) kufa kiume

Wakati wanaangaika na hayo, Yanga inagombea makombe matatu msimu huu lakini timu ya faraja fc wamebakiza kombe moja tu wanalogombania.
8. Kuendelea kuona Yanga hawana akili
 
Hapo kwenye a player is liable to pay ni kama club itaridhia, ila dogo hakuwa na nidhamu, badala ya kuwaomba Yanga yeye aliwatangazia kiwa amevunja mkataba. Kwa kuwa Yanga hawakuridhishwa na ujuaji na ubabe anaotaka kuuonyesha dogo, ndiyo maana wao wakagoma kuridhia na hiyo a player is liable to pay inajifia kibudu.
Kuna watu mnavichwa vigumu
 
Back
Top Bottom