Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hakuna mkataba usio vunjika. Soka sio biashara ya utumwa.Ukishaishiwa hoja laxima ukimbilie comment ya aina hiyo uliyoitoa.
Ngoja nikusaidie, kama nitaweza lakini. Ni hivi, ngetokea Yanga hawamlipi Feisal stahiki zake kwa mujibu wa mkata hapo sawa, huo mkataba ungevunjika. Feisal kashindwa kuthibitisha kuwa Yanga wamekiuka mskybaliano, unataka nini kingine?
Mkataba havunjika kwa sababu eti siku hiyo umeamka unajisikia kuvunja mkataba.
Mikataba inavunjika ila masharti ya kuuvunja ndo yanaweza kuwa magumu.
Hata mkataba wa Fei unavunjika ndo maana Yanga wapo tayari ila wanasema taratibu/masharti ndo hayafuatwi na Fei.