Feisal is smart! Deal with big fish

Tuchukulie mf FEISAL kaamka na kuwaandikia Barua UTO kuwa anaacha kucheza soka, hataki tena! UTO wangefanya nn?
Wangedai fidia na pia huyo Toto asingeruhusiwa kucheza mpira tena po pote duniani!
 
Rudi #4 nimeelezea vyema
Huoni huko TFF team Fei imeshangonga mwamba?
Kuendelea kudanga TFF atahukumiwa kwa Sheria za FIFA na hizo haziko upande wake.
Yeye kama anataka atoboe aende Mahakama ya Kazi au hivi Mahakama za kawaida.
Na huko sijui kama Serikali itakubali ingawa tunaambiwa Mahakama ni mhimili huru, lakini si dhani kama itakubali nchi isimamishwe uanachama na kuhatarisha kufutwa kabisa. Labda mkafanye lobbing Mahakamani, Mahakama iivimbie Serikali hatimae
tukose SEMI FINAL na FINALI ya kombe mnaloliita la waliofeli.
 
Endelea kukaza fuvu
 
asa wakati wazito wanahangaika na fatuma na wewe umekaa pale Fei nae yupo sebuleni anacheza PS Yanga FC wapo CAF huko wanakusanya medali...hii kwa wenye akili tu,mamaeee
 
Fatuma na wewe mwenyewe hamjielewi kabisaa!
 
Ndugu yangu nina mengi basi? Nipo paleee! Fatuma kalibeba hili na Karumes watafanya nini? Kama aliwahi kuwa against CCM wakabaki macho kodo itakuwa Uto timu ya babu? Nipo paleeee [emoji23]
Yanga ni kubwa kuliko karume na hao unaowadhania ni wakubwa... Ukitaka kuamini hili mwambie Bibi kirembwa atie mguu wake Hilo sakata afu wananzengo wakiamshe uone kama hatakimbilia sultan empire...😅😅
 
Fatma Karume kaandika wazi, kwenye mkataba wa Fei na Yanga, kipengele namba 14.7 kinaruhusu kuvunjwa mkataba, kama hiki kipengele kipo na utopolo hawajawahi kukanusha, ni wazi TFF wanashirikiana na Yanga kumkandamiza Fei Toto.

Ngoja timu yangu ya Lipuli ipeleke maombi ya kumnunua Fei toto [emoji23][emoji23].

Hawa Yanga watakuja kulipa fidia wao, ngoja tusubirie wakati.
 
Sababu za kuvunja mkataba FIFA ni iwapo mchezaji halipwi na timu yake sio tu akijisikia kuvunja anavunja

Kama hana furaha na mkataba unamruhusu kuvunja mkataba?

Nakuhakikishia Fei anaenda kukipiga msimu unavyoenda kuanza. Kwa sasa hawana haraka, maana hakuna usajili unafanyika.

Hakuna mkataba unaoilazimisha pande moja kuutekeleza bila kuwa na adhabu ya kushindwa kuutekeleza ikiwa ni pamoja na sehemu ya kufanya usuluhisho.
 

Sheria zinabdilika. Kama kunauwezekana wachezaji wakaondoka wote, unaweza pewa nafasi ya kutumia wale wa timu B.

Hakuna kisichokuwa na mbadala, lakini huwezi kumlazimisha mchezaji.

Unajua madhara yake akiamua kufungisha na hasira za mashabiki zikatokea. Unaweza leta maasi.

Ndiyo maana kuna wachezaji wakiianza kuzomewa na mashabiki mfululizo huamua kutaka kuondoka.
 
Wananasema hajafata taratibu ila hawampi hizo taratibu wanataka aende wazungumze.
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani tafrani... Wangemuonyesha kwamba hizi hapa, zifuate.... Wanataka wakajifungie...
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…