Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Feisal: Naelekea Ulaya kuanza majukumu mapya

Kama kaenda nje basi katumia akili, lakini ingekuwa Azam kama ilivyokuwa awali ingekuwa ni hatua nyingi mbele kiuchumi na hatua nyingi nyuma kiufundi
 
Mliwaacha Point 10 wakati Fei yupo, sasa zimebaki 6 na mshaanza ushindi wa moja moja soon mtaanza fululiza draw.

Muda utaongea..
Toka Fei aondoke Yanga kacheza mechi 2 tu Azam na Mtibwa na kashinda zote sasa points zipi alizopoteza!
 
Kawapa na haya ya kujikinga na mabalaa yao.

sijaelewa bado,inamaana Azam wamechukua mali wakaiuza nje au vipi?
 
Kama kaenda nje basi katumia akili, lakini ingekuwa Azam kama ilivyokuwa awali ingekuwa ni hatua nyingi mbele kiuchumi na hatua nyingi nyuma kiufundi
Lengo la watu wengi ni kusonga mbele kiuchumi, sifa za kijinga hazina nafasi wakati hauna hela
 
Back
Top Bottom