Feisal ni busara kunyamaza

Feisal ni busara kunyamaza

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Chutama mdogo wetu na usitafute huruma sisi Simba tuonekane tunakutaka. Pambana na hali yako na jinsi unavyozidi kuongea unazidi kuharibu tu.

Busara kunyamaza ili usiendelee kuharibu huku mtaani. Kiburi hakitakusaidia.
 
Hii vita bado mbichi.
Manara kapost sauti za yule meneja mchochezi yasmin zumaridi, akimwelekeza feitoto cha kusema. Huku feitoto Anasema ananyanyaswa na hersi na gsm.

Wengine wanadai ishu sio hela, ishu marinda.

Acha inyeshe tujue panapovuja.
Kazi ipo.

Binafsi naona hili sakata litawashushia baadhi ya watu heshima.

Sioni sababu yoyote kwann Yanga wasimpige faini na kumfukuza na akigoma kulipa wamshtaki. Inakuwa kama wana ugomvi wa kimapenzi wakati ni ajira na maslahi.
 
Ila Huku kwenye vijiwe vya kahawa kuna stori mbili.

1. Feitoto inaonekana alijua mishahara ya wachezaji toka nje hata ambao wanasugua benchi wote mishahara inaanzia $5000 na zaidi hata wanaosugua benchi wanalipwa hivyo wengine mpaka $7000-$10,000. Sasa Eng hersi akamwambia feitoto kuwa watamuongezea mshahara kumbe mkataba mpya hawakumuongezea, kama walimtapeli akaishia kwenye milioni 4. Kwa hiyo feitoto akamaindi utapeli wa gsm na hersi. Si unajua kibongobongo wazawa wanadharaulika kimalipo sio kimpira tu ni sekta zote wazawa wanadharaulika 🤣🤣🤣. Kwahiyo Yanga wamekaza kumuachia mpaka wapewe hela na timu inayomtaka.

2. Marinda dimpoz
 
Fei anasema hakuna timu inamtaka, tena sasa hivi ndo kabisaa hakuna timu sababu ya mgogoro wa kimkataba. Sasa hiyo pesa ambayo Yanga wanaitaka kutoka katika hiyo timu kwanini wasimueleze Fei ili achangiwe? Maana anasema yupo tayari kwa hilo, na wachangaji wengine wapo humo humo Yanga.
 
🤣
Hii vita tamu sana. Labda Yanga wamuachie. Kuna clip imevuja yule meneja Yasmin "zumaridi" anamfundisha feitoto cha kuongea. Mara yule Yasmin aanze kulia kwenye tv na radio, analia kwa uchungu kama Mama mwenye mtoto. Sasa kipanya anauliza shida ni nini? Feitoto anatajataja tu vitu ambavyo havinyooki. Inawezekana ishu ya marinda ni kweli ila wanaona aibu kusema. Hii ishu ya feitoto inabidi ifike kwa mangekimambi ndio tutapata ukweli wote 🤣🤣🤣. Kama ishu ni mkataba, mshahara, manyanyaso au marinda.
 
Hahaha. Mange haaminiki hawezi kuwa reliable source ya ukweli. Kinachotakiwa ni Yanga kuachana na Fei. Wampe adhabu, alipe kisha wamuondoe.
 
Hii vita bado mbichi.
Manara kapost sauti za yule meneja mchochezi yasmin zumaridi, akimwelekeza feitoto cha kusema. Huku feitoto Anasema ananyanyaswa na hersi na gsm.

Wengine wanadai ishu sio hela, ishu marinda.

Acha inyeshe tujue panapovuja.
Ni wakili wake kuna ubaya gani akimuelekeza cha kusema??
 
Atanyamazaje?
Hersi na akina kalikonji si wangekaa kimya wao kwanza...?
Atoe ya moyoni nafsi yake itulie! Ameshasema yanga hawezi kurudi, fullstop!!
Ndo hapo sasa, wangemuacha aondoke tangu mda haya yote tungeyajuajeee?? Khaaah.
 
Hii vita bado mbichi.
Manara kapost sauti za yule meneja mchochezi yasmin zumaridi, akimwelekeza feitoto cha kusema. Huku feitoto Anasema ananyanyaswa na hersi na gsm.

Wengine wanadai ishu sio hela, ishu marinda.

Acha inyeshe tujue panapovuja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na watadharirika safariiii hii.
 
Ila Huku kwenye vijiwe vya kahawa kuna stori mbili.

1. Feitoto inaonekana alijua mishahara ya wachezaji toka nje hata ambao wanasugua benchi wote mishahara inaanzia $5000 na zaidi hata wanaosugua benchi wanalipwa hivyo wengine mpaka $7000-$10,000. Sasa Eng hersi akamwambia feitoto kuwa watamuongezea mshahara kumbe mkataba mpya hawakumuongezea, kama walimtapeli akaishia kwenye milioni 4. Kwa hiyo feitoto akamaindi utapeli wa gsm na hersi. Si unajua kibongobongo wazawa wanadharaulika kimalipo sio kimpira tu ni sekta zote wazawa wanadharaulika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwahiyo Yanga wamekaza kumuachia mpaka wapewe hela na timu inayomtaka.

2. Marinda dimpoz
Dimpoz anahusika nn hapa kwa fei? Nani hajui kuwa yanga pale wachezaji baadhi ni upindee?

Kabwili alimwaga udaku wote chimbooo, tupo tuna zoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kikubwa feitoto asitupe laini alizokuwa anatukanwa nazo na rais au alivyokuwa anatukanwa mama Ake ,na nk
 
Dimpoz anahusika nn hapa kwa fei? Nani hajui kuwa yanga pale wachezaji baadhi ni upindee?

Kabwili alimwaga udaku wote chimbooo, tupo tuna zoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba fei alitakiwa atoe nyuma au [emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Back
Top Bottom