edon66
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 2,907
- 9,135
Nakazia.Usije kuruhusu kukaa kimya pale ambapo unaona haki yako inaporwa, USITHUBUTU
Maana usipoitetea HAKI Yako pekee Yako usitegemee Kuna mtu anaweza kukusaidiaa kuipata isipokuwa ww mwenyewee...
Fei anaipambania HAKI yake maana anajua kazi na umri na umrii huu ndio wakumpiga pesa ukipitaa ndio bac tenaa atakujaa uza supu ya pweza uzee uku akiwa na cfa alicheza yanga ila Hana kituu..