Feisal ni busara kunyamaza

Usije kuruhusu kukaa kimya pale ambapo unaona haki yako inaporwa, USITHUBUTU
Nakazia.

Maana usipoitetea HAKI Yako pekee Yako usitegemee Kuna mtu anaweza kukusaidiaa kuipata isipokuwa ww mwenyewee...

Fei anaipambania HAKI yake maana anajua kazi na umri na umrii huu ndio wakumpiga pesa ukipitaa ndio bac tenaa atakujaa uza supu ya pweza uzee uku akiwa na cfa alicheza yanga ila Hana kituu..
 
Kwamba fei alitakiwa atoe nyuma au [emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nisiseme sana, ngoja sakata lake likiisha ntaumwagaaa waziii.

Kuinamishwa na mtu huna hisia nae, wee kuwezaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inawezekana ni makafara ya watu
 
Wiki Sasa Kati ya mil.60 amepata 9. Hizo 400m atazipata baada ya Muda gani?
Halafu Feisal anajua kusoma, amekuwa captain wa Yanga hata Mechi za kimataifa, Leo darasa la 6 ashindwe kutofautisha Kati ya Two na Three?
 
Anasema atachangiwa na rafiki zake ndani ya Yanga na wengine. Wale waliomchangia alipe ile m100.
 
Kazi ipo.

Binafsi naona hili sakata litawashushia baadhi ya watu heshima.

Sioni sababu yoyote kwann Yanga wasimpige faini na kumfukuza na akigoma kulipa wamshtaki. Inakuwa kama wana ugomvi wa kimapenzi wakati ni ajira na maslahi.
Mpaka wamjue mchawi ni nani...
 
Reactions: Tsh
Hii vita bado mbichi.
Manara kapost sauti za yule meneja mchochezi yasmin zumaridi, akimwelekeza feitoto cha kusema. Huku feitoto Anasema ananyanyaswa na hersi na gsm.

Wengine wanadai ishu sio hela, ishu marinda.

Acha inyeshe tujue panapovuja.
Nani anataka marinda ya nani
 
Fafanua namba mbili
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanangu carrasco putin
Inaonesha huipendi utopolo from your heart

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chutama mdogo wetu na usitafute huruma sisi Simba tuonekane tunakutaka. Pambana na hali yako na jinsi unavyozidi kuongea unazidi kuharibu tu.

Busara kunyamaza ili usiendelee kuharibu huku mtaani. Kiburi hakitakusaidia.
Wewe ukishikwa shikwa matterko na wahuni utanyamaza???
 
Kazi ipo.

Binafsi naona hili sakata litawashushia baadhi ya watu heshima.

Sioni sababu yoyote kwann Yanga wasimpige faini na kumfukuza na akigoma kulipa wamshtaki. Inakuwa kama wana ugomvi wa kimapenzi wakati ni ajira na maslahi.
Tatizo wanajua kabisa kwa nini Feisal ana kiburi,huenda yeye ndiyo ana codes za hatari akiamua kuzifungua kwa uwazi zaidi watu watatafutana.Wamwache kijana wa watu aende zake kwa amani na awalipe stahiki zao kuliko kukaza mishipa ya shingo mwisho wakaishia kudharirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…