Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Feisal Salum (Fei Toto)
Ni swala la muda tu Yanga watatangaza kumalizana na Fei Toto na Azam kutangaza kumsajili.
Nyumba atakayokwenda kukaa ipo katika hatua za mwisho za Furnishing. Nyumba ipo Oysterbay karibu na kwa makamo wa raisi.
Hatimae dogo ataenda kulala akipulizwa na kipupwe cha indian ocean.